min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Kabisa babu ila kuna sie singo baba tunasahaulika mkuu😁Nashauri tuwapumzishe hao Single Mothers, Kuna wengine walipata mimba Kwa kubakwa na wakaishia kuwa single mother.
Wengine ilitokea Waume zao wamefungwa vifungo vya muda mrefu magerezani, hivyo kubaki na Jukumu la kulea watoto peke yao.