Nilikua sijuiSasa je
Endelea kuota😂Hahaha ngoja tuone kwako😆😆😆
Kwenye jamii pia wapo Wanaume waliowatelekeza watoto wao,hao ndio nimewaongelea,Mimi nimeongea kilichopo kwèñye jamii. Labda wewe na wengîneo ndîo mtashndwa kuelewa ujûmbe WA nilichoandika.
Kwani hujawahi kusikia kua kuna Wanaume wamewakataa watoto wao? Hujawahi kusikia kua kuna watoto wametelekezwa na Baba zao? Hujasikia story ya Ommy Dimpoz na Baba yake? Hujasikia story ya Diamond na Baba yake?Hili nilishaeleza kuwa, mama kama anaona hawezi kuwatunza Watoto awapeleke Kwa Baba Yao. Mwanamke anajijua Hana uwezo wa Kutoa Pesa za Watoto why abaki na Watoto kama siô ushenzi?
Huduma ya mtoto sio suala la upendo bali ni jukumu,huwezi ukaacha kumtunza mwanao na kutoa sababu kua eti huna upendo kwa Mwanao,chanzo kikuu cha matatizo ya hao Single mothers ni Wanaume kukimbia majukumu yao ya kuwatunza watoto wao.Kama Mwanamke ameng'ang'ania Watoto unategemea mwanaume Afanye nini?
Mama apeleke Watoto Kwa Baba Yao ili Baba asigawanye Pesa ili zitoshe Kûtunza Watoto Kwa pàmoja.
Mfano, wewe kipato chako NI Laki tatu. Umeoa na unawatoto wawili lakini kûna Mwanamke ulimzalisha, hivyo jumla unawatoto Watatu. Unategemea njia Ipi NI rahisi kumlea Mtoto WA nje Kwa Mshahara wa Laki tatu, je Mtoto huyo aletwe Hapo nyumbani kwako ili bajeti ya Laki tatu isigawanywe ale na nduguze au abaki nje Huko Kwa Mamaake apate kidunchu au asipate Kabisa?
Narudia, Mwanamke kama hawezi Kûtunza Watoto awapeleke Kwa Baba Yao.
Labda abaki nao Kwa makubaliano kuwa Baba atahudumia Mtoto huyo akiwa Kwa mamaake
Huduma ya Mtoto NI suala la Upendo na mahesabu ya kiuchumi.
Unaweza Ukawa na Upendo lakini mahesabu ya kiuchumi yakagoma ndîo maana njia rhiai NI aidha Watu wasiachane ila kama itawalazimu kuachana Basi Yule mwenye uwezo Ndio abaki na Mtoto
Sio huyo babu! Ni yule mkwe wako wa ukweli☺️Kwani ndiye Jana alikupeleka nyumbani kwake akuoneshe zile sufuria za plastic?
Mkimbie haraka sana huyo, hachelewi kubadirisha mbinu huyo 😜
Kumbe ndio iko hivyo ? Sikua najua
Nimekuona Siku nyingi unamsaundisha Mjukuu wangu, Tena Jana usiku si ndiyo ulirusha mawe juu ya Bati kumshtua atoke nje wewe 😜😁😁😁 babuuuuuu
Hapo sawa 🤗Sio huyo babu! Ni yule mkwe wako wa ukweli☺️
Babu mwambie mjukuu wako anakosa mema ya nchi🤪Nimekuona Siku nyingi unamsaundisha Mjukuu wangu, Tena Jana usiku si ndiyo ulirusha mawe juu ya Bati kumshtua atoke nje wewe 😜
Msijifiche kwenye kichaka cha ulinzi wa jamii, upo wakati huyo mnaemtetea atawatawala ndipo mtajutia huu muda mnaosumbuka nae, bado kidogo mwanamke atakuwa juu ya mwanaume katika nyanja zote, mtaruka na kukanyagana,Kwa sababu jukumu la Mojawapo la Wanaume NI ulinzi wa Ndoa na jamii ikiwemo Wanawake.
Hata Huko Gaza wanaopiga kelele kuwatetea Wanawake na Watoto wanaouwa NI Wanaume.
Yapo makundi MAWILI.
1. Kundi àmbalo linawakandamiza Wanawake na wanaona wanahiyo Haki ya kuwakandamiza.
2. Kundi linalotetea Wanawake na kuwaamsha kuwa nao ni Watu wanaotakiwa wajitambue ili Ûtu waô uheshimike.
NI vita ya Mwanaume mwema, nuru Vs mwanaume Mbaya, Giza.
Wanawake ndio maslahi ya makundi hayo mawili
Hakuna vita Baina ya mwanaume na Mwanamke
Nimecheka hapa😂😂😂mtaruka na kukanyagana,
Hahaha..............mualike Kwa Dinner hapo Mkuki Mall, Kwa jinsi anavyopenda Kuku anaweza kukubali mwaliko 🤗Babu mwambie mjukuu wako anakosa mema ya nchi🤪
Single parent.kama Una hela lakiniMimi mwanaume ninae tunza wanangu pekee yangu ,na huku mama zao wameshaolewa kwingine nitaitwaje mkuu?
Kwenye jamii pia wapo Wanaume waliowatelekeza watoto wao,hao ndio nimewaongelea,
Kwani hujawahi kusikia kua kuna Wanaume wamewakataa watoto wao? Hujawahi kusikia kua kuna watoto wametelekezwa na Baba zao? Hujasikia story ya Ommy Dimpoz na Baba yake? Hujasikia story ya Diamond na Baba yake?
Huduma ya mtoto sio suala la upendo bali ni jukumu,huwezi ukaacha kumtunza mwanao na kutoa sababu kua eti huna upendo kwa Mwanao,chanzo kikuu cha matatizo ya hao Single mothers ni Wanaume kukimbia majukumu yao ya kuwatunza watoto wao.
Msijifiche kwenye kichaka cha ulinzi wa jamii, upo wakati huyo mnaemtetea atawatawala ndipo mtajutia huu muda mnaosumbuka nae, bado kidogo mwanamke atakuwa juu ya mwanaume katika nyanja zote, mtaruka na kukanyagana,
Jana nimeota Nina mimba.niliota nimepima kipimo nikasema Nina mimba.kiukweli sijasex almost 2yrs.nilipokea majibu kwa masikitiko.naombeni tafsiri wakuu.kusema kweli nilikuwa na appointment yabkupiga tukio ila nimeogopa
Mkuu! Kapate tu utamu sababu inaweza kutokea sio lazima iwe mzagamuano wa leo hata wa mwakaniJana nimeota Nina mimba.niliota nimepima kipimo nikasema Nina mimba.kiukweli sijasex almost 2yrs.nilipokea majibu kwa masikitiko.naombeni tafsiri wakuu.kusema kweli nilikuwa na appointment yabkupiga tukio ila nimeogopa
Bold kubwa:Mwanamke wa hivyo huyo ni sawa na mama yako,au mama wa rafiki yako even mama yangu kama bado unawaona ktk ndoa zao na waume zao,mwanaume ukiondoa kuzaa watoto anachokitafuta kwa mkewe ni heshima na masikilizano so kwa muktadha huo simuoni mume wa mwanamke wa kwenye mfano wako akimfanyia mabaya.Mwanamke anaweza akawa na Adabu akaolewa Kabisa lakini kwèñye Ndoa akaambiwa asifanye Kazi. Akamheshimu Mumewe na kumsikiliza.
Alafu mwisho WA Siku akapewa talaka au Mumewe akamfanyia mambo ya hiyana, au akataka kumuongezea Mke Mwingine.
Baàda ya kufukuzwa, Hana Kazi, hawezi kujitegemea na uzoefu WA kujitegemea Hana.
Hawezi kujitunza wala Kûtunza Watoto wake aliowazaa mwenyewe Wakati Kuku na Wanyama wengine wanatunza.
Alafu anashindwa Kupata Mwanaume Mwingine Kwa Sababu huyo Mwanaume Mwingine anamuona mzigo yeye na Watoto wake.
Bado unaona sina sababu ya kuwaambia Ukweli?
No need to SUGAR-COAT them.Singo maza ni singo maza anajulikana no need to coat suger them.
Bold kubwa:Mwanamke wa hivyo huyo ni sawa na mama yako,au mama wa rafiki yako even mama yangu kama bado unawaona ktk ndoa zao na waume zao,mwanaume ukiondoa kuzaa watoto anachokitafuta kwa mkewe ni heshima na masikilizano so kwa muktadha huo simuoni mume wa mwanamke wa kwenye mfano wako akimfanyia mabaya.
Bold ndogo:kwa ishu ya kuongeza mke nadhani imekaa kidini zaidi inapaswa alijue hilo lah kama siyo la kidini amuulize mume may be anahitaji watoto wengi zaidi huku yeye akiwa uwezo wa kuwazaa hana,but still mimi nikiwa kama mwanaume nasema hii sababu ya kuongezewa mke siyo sababu ya kumfanya mwanamke aondoke kwa mumewe ikiwa anatimiziwa yote ya msingi kifamilia then kama hayatekelezwi zipo sheria za nchi ustawi wa jamii watamlazimisha mume awajibike kwa familia yake lakini wengi unaowaona mitaani hizi sababu sizo zinazowakimbiza kwa waume sababu kuu ni kiburi,dharau kwa kujifariji kwao kwamba anachokifanya mwanaume nao wanakiweza.