Tuwekane Sawa; Single mother NI Yule asiyeweza kuhudumia Watoto wake na Anahitaji kutunziwa Watoto na Mwanaume Mwingine àmbaye hakumzalisha

Mshaanza kutawaliwa endelea kubishana, hiyo ya kumtawala Mungu umeichomekea ili kunitisha au mmeanza kujifananisha na Mungu, mtibeli bhana, sumbukieni yenu yetu tunayamudu
 
Kwa tafiti zangu wanaongooza kuolewa na kupendwa ni wanawake wenye watoto
Hyo ni uhakika na ushahidi ninao
 
single = asiye na mwenza

mother = mzazi wa kike

single mother = mzazi wa kike, asiye na mwenza(bila kuzingatia kigezo kingine chochote)

ni hivyo tu

tatizo robert unajua kuandika sana, lakini muda mwingine unajichosha tu

Usiishie Hapo àmbapo hata Mtoto wa darasa la pili akiulizwa atajibu vivyohivyo.

Ukiulizwa, Kwa nini single mother wanaandamwa na kuzungumziwa vibaya Duniani kote kuli single Father, utatoa sababu gàni?

Unafikiri Kwa nini single Father Kuoa kupata mwenza siô tatizo ila single mother hupata upinzani mpaka Ukweni?
 
Bold & Underline

Hizo Ndoa za babu yako umezishuhudia ukiwa na umri gani? Yaani ulikua Unajitambua kwa kiasi gani?

Hao wanawake 9 uliongea nao wote wakakwambia wako na Amani na furaha kwenye hizo Ndoa?

Babu yako alikua na watoto wangapi? Maisha yao na mama zao yalikuwaje baada ya kuondoka kwake?

Athari za ndoa za mitala huwa sio za kujificha, matokeo tunayaona mpaka leo maana Kama Ndoa za waliotutangulia zingekua that perfect, basi the ripples of reflections tungeziona mpaka kwenye ndoa za sasa.
Lakini ni kinyume chake kiasi inatupa mwanga wa yake yaliyopita kwamba hayakua all glorious and perfect Kama unavyojaribu kutuaminisha hapa.
 
Wanaume wenye hela hawana stress za watoto wa watu.
Mwanaume asie na hela mtoto wake Tu anamkimbia.watafute hela waone maisha yalivo
Kabisa huwezi kuwa umetingwa na majukumu ukapata muda wa kusemea matatizo ya mtu mwingine, au kuumia na hasara ya mtu mwingine,
 
Mshaanza kutawaliwa endelea kubishana, hiyo ya kumtawala Mungu umeichomekea ili kunitisha au mmeanza kujifananisha na Mungu, mtibeli bhana, sumbukieni yenu yetu tunayamudu

Tumeanza kutawaliwa Wapi?

Huko Ulaya àmbapo Haki za Wanawake zimeanza kupiganiwa Karibu Miaka Mia Mbili iliyopita bado haijawezekana, wewe unachanganywa na huku kujitegemea Kwa Wanawake ndîo unaita Wanawake kuwatawala Wanaume.

Lengo la movement zote Kúpigania Haki za makundi maalumu kama Wanawake na walemavu ni Kutengeneza usawa na fursa za Haki katika kujitegemea ili Ûtu WA kîla binadamu Bila kujali rangi ya Mtu, jinsia na maumbile.

Mwanamke kujitegemea haina mana maana ndîo anamtawala Mwanaume.

Mwanaume atabaki kuwa Mwanaume Siku zote.

Watu wengi walienda Shule lakini hakuwapata uelewa na Elimu Sahihi ya kujua dhana ya Haki Sawa, Haki za binadamu na masuala ya Usawa ya kijinsia
 
Wanaume wenye hela hawana stress za watoto wa watu.
Mwanaume asie na hela mtoto wake Tu anamkimbia.watafute hela waone maisha yalivo

Maskini ndîo huwaza hayo.

Hakuna Watu wabaguzi kama Watu weñye Hela. Labda kama Unazungumzia weñye Pesa madafu.
Maana bongo Watu hushindwa kutofuatisha weñye Pesa kutokana na ufukara.
MTU ukishakuwa na kajumba kamoja na gari Mbili unaitwa bilionea
 
Nikuulize kiufupi tu, heshima aliyopewa mwanaume wa zamani bado anapewa heshima hiyo miaka hii anzio 2010,

Mamlaka yenu tunazidi kuyaona ya kawaida sana hamuungurumi wala kututisha tena, tumewakanyaga vilivyo na saiv tunawapanda vichwani bado kuwakalia ili tuwatawale vizuri
 
Single parent family mbona definition ya Civics form one inaeleweka vizuri hii yako umeanza kuipaka paka rangi

Single parent family- is a family of mother/father with child or children
Kumbe ulishampa somo dogo hapa.

Namshangaa anavyohusianisha neno "single" na mambo ya uchumi, hajui kuna "double" pia, sijui kaupata wapi huu upupu anaotuwekea hapa.
 
ni kwasababu kwenye jamii za kitanzania, mwanamke mtu mzima kutokuwa na mwenza inachukuliwa kama jambo la fedheha, ni mwiko(taboo)

mwiko nikimaanisha ni jambo ambalo jamii kama kundi imeamua kulichukia tokea zamani isiyotambulika
 

Kapeace wewe ni mwanamke àmbaye naamini umesoma na kuelimika.

Heshima ya Mwanaume bado ingalipo.
Labda kama Unazungumzia Hofu na woga uliotengenezwa na mfumo Ovu wa Zamani ili kukandamiza haki ya kundi Fulani.

Heshima haishuki Kwa sababu heshima NI heshima. Heshima NI KWELI tupu.

Zamani kuliko na dhana nyingi za uongouongo Ambazo zililenga kuogopesha Watu kuliko kuleta heshima.

Mfano,Zamani ilisemekana, mzungu hafi Jambo ambalo lilifanya Waafrika waogope wazungu. Lakini Siku hizi hiyo kitu haipo Kwa sababu ûjinga umeondoka.

Zamani, Watu waliogopa Wazazi badala ya kuwaheshimu Kwa ile dhana ya uongo ya Laana.
Lakini Siku hizi watu hawaogopi Wazazi isipokuwa wanawaheshimu. Ndîo maana Siku hizi Mzazi hawezi kukuamulia Jambo ambalo wewe unaona siô Sahihi. Ila Zamani waliweza Mpaka kukuchagulia Mke au Mume kilazima utake usitake. Ukibisha wanakutishia Laana. Siku hizi wanajua hata wakukulaani haiwezeni Kwa sababu janja Yao umejulikana.

Zamani Wanawake waliogopa Wanaume Kwa Sababu mbalimbali,
Mosi, ulinzi na usalama. Dunia iliyopita ilikuwa ya ubabeubabe.
Pili, huduma na Haki ya KUMILIKI utajiri
Zamani Mwanamke asiye na Mwanaume Hana ujanja wa kuishi Kwa sababu atapata Wapi chàkula, atatumia Ardhi Ipi Wakati kîla Ardhi inamilikiwa na Mwanaume.

Zamani, Mfalme alidhaniwa ananguvu za kimungu yàani Sawa na Mungu.
Walitisha Watu badala ya kusema UKWELI.

Zamani, waalimu waliogopwa Sana lakini Siku hizi hawaogopwi ila wanaheshimiwa.

Ukifanya ya heshima utaheshimika na kuheshimiwa Bila kujali Nafasi yako.

Lakini Zamani unaweza ukafanya Mabaya na Watu wakakuheshimu kinafiki Kwa hofu(woga) lakini mioyoni mwao hawakuheshimu.

Tunapoelekea NI kuzuri zaidi maana uongo na ukweli vitakuwa Mbingu na Ardhi, magharibi na Mashariki.

Bado utasema Mwanaume Sasa hivi haheshimiki?
Semà Mwanaume Sasa hivi haogopeki.

Yàani usemè Zamani Mwanaume alikuwa anaheshimika na Wanawake kwakuoa wake wengi? Kweli?
Yàani wewe uolewe na Mwanaume alafu akuletee wake Wenza Kumi usemè utamheshimu? Unajua maana ya kumheshimu Mtu kwèli?
 
Kumbe ulishampa somo dogo hapa.

Namshangaa anavyohusianisha neno "single" na mambo ya uchumi, hajui kuna "double" pia, sijui kaupata wapi huu upupu anaotuwekea hapa.
Nilikuwa namuweka sawa, asichanganye madesa, uchumi ni uchumi na single ni single haviingiliani
 
Single parent family mbona definition ya Civics form one inaeleweka vizuri hii yako umeanza kuipaka paka rangi

Single parent family- is a family of mother/father with child or children

Sasa kwa hiyo definition yako àmbayo Mtoto wa kidato cha Kwanza ataeleza,
Tuambie nini kinasababisha Wanawake single mother kuandamwa na kukejeliwa mitañdaoni Wakati single Father hawafanyiei hivyo?
Kama Moja ya sababu kûbwa siô suala la kiuchumi kuachana na mambo ya Mapenzi?
 
Tatizo lako unajigeuza mpiga ramli sasa ili ku justify kosa lako la kimantiki kwenye ku define neno "single" kulingana na mada yako, umeshaelekezwa elewa, acha ubishi.

Hapa duniani neno "single" halijawahi kumaanisha mzazi mwanamke kukosa pesa, umedanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…