Mhmmm wawili tu bhna na wakido wawil😊Wote wanne ukazinguana nao kweli!!
Babu mpesa ni kitu kidogo sna kwangu😁😁😁Kwahiyo mara zote anachomoa?😜
Hebu tafuta Lugha nzuri ya kuongea naye, mara nyingi anapenda sana kusoma Meseji za MPesa 🤗
Bora umeongea ukweli mkuu maana kuna watu ukisema tu wanaanza kuleta sababu🤣🤣🤣🤣🤣 Tulibakwa!?? Aaa...hapana kwa kweli.Tuliivulia kabisa mkuu....na maiki tukaikamata,tukaimba na kuiweka wenyewe chini.Sema tu kitu kikiwa si chako siyo chako tu😉
Hivi ndio hawala hanaga talaka eeh!!Mhmmm wawili tu bhna na wakido wawil😊
Hapo uhakika MjukuuBabu mpesa ni kitu kidogo sna kwangu😁😁😁
Kwahiyo ulikuwa unaililia kabisa Kwa raha zako huku unamwambia jamaa aongeze Kasi ya kupiga makasia😜🤣🤣🤣🤣🤣 Tulibakwa!?? Aaa...hapana kwa kweli.Tuliivulia kabisa mkuu....na maiki tukaikamata,tukaimba na kuiweka wenyewe chini.Sema tu kitu kikiwa si chako siyo chako tu😉
Unaitwa Bazazi😀😃😄😁Mimi mwanaume ninae tunza wanangu pekee yangu ,na huku mama zao wameshaolewa kwingine nitaitwaje mkuu?
Huko tuendapo utakuja na mada kwamba Mwanaume ni yule tu afanyaye kazi za kulima kwa jembe la mkono, abebaye mizigo na kuwinda, wengine wote utakuja utwambie hawapo kundi la wanaume
Hakika hapo zitakuwa zimeyeyuka...
Na wale wanawake wanaolea watoto wao wenyewe na kuwatunza Baba zao ambao hawana mbele wala nyuma kama Binti Kimoso anavyokulea wewe na mtoto wenu Prince Mtibeli wanaitwaje?
Nanukuu - "Mwanamke mwenye pesa asie na mme anaitwa Shugamami/Mshangazi, Yeye hayupo kwenye kundi la SingleMothers.."
Kwa uelewa wangu mdogo Mshangazi/Shugamami ni mwanamke mwenye umri umekwenda kwenda kidogo na ana pesa ya kutosha, anafukuzia vijana wadogo kwa ajili kuwa nao kiburudani tu anawalipa na kuwalea..
Swali langu : Mwanamke mwenye miaka 24 ambae alizalishwa tu na hana Mume, lakini huyu mwanamke anajimudu amejiajiri kwa biashara ndogondogo maybe anauza Juice na anajitegemea... Je yeye pia ni Mshangazi/Shugamami?
Mtibeli na Single mama leo, umeongea ukweli mtupu mtibeli huna baya, sifa ya shangazi lazima awe nazo sio hawa wengine wanataka uwasaidie kulea shahawa za wanaume wengine
Màda yako nimeisoma nikaielewa, ndio maana nikakujibu.
Hata mdau hapo juu nae amekusoma, akakuelewa, ndio maana nae ameona kosa lako la kimantiki kwenye maana ya neno "single"
Sasa la kuandamwa haliondoi maana halisi ya Single parents mkuu usichanganye mafaili.
Tukija kwenye sababu za kuandamwa ni kutokana na tabia zao hasa wanaanzisha mahusiano mapya, baadhi ya hoja za wanaolalamikia hao single mothers ni kukosa msimamo na kuendeleza mapenzi na wazazi wenzao ilihali wako kwenye mahusiano mengine, ndio hapo watoa hoja wanasema ukiwa na mahusiano na Single mother hakikisha amekuonyesha kaburi la mwenzi wake.
Ikumbukwe Single mother wanaolalamikiwa sana na kuandamwa ni wale ambao wazazi wenzao wapo, sio wale wajane.
Sasa ukisema kwanini single fathers hawaandamwi sana basi ujue hawana changamoto kubwa maana kwenye hilo tunategemea walalamikaji wawe wanawake wanaoishi nao, sasa kama hawalalamiki tutawalazimisha walalamike ili kubalansi ikwesheni mkuu?
Hata hapa hauko sahihi, kama mambo yakiwa hivi unavyoyapeleka, basi lugha haitakuwa na maana.Na Mimi sipo kuondoa maana ya msingi ya neno single mother.
Nimetoa maana ya ziada ya single mother katika muktadha wa kinachoendelea kwenye jamii huku.