Tuwekane Sawa; Single mother NI Yule asiyeweza kuhudumia Watoto wake na Anahitaji kutunziwa Watoto na Mwanaume Mwingine àmbaye hakumzalisha

Tuwekane Sawa; Single mother NI Yule asiyeweza kuhudumia Watoto wake na Anahitaji kutunziwa Watoto na Mwanaume Mwingine àmbaye hakumzalisha

🤣🤣🤣🤣🤣 Tulibakwa!?? Aaa...hapana kwa kweli.Tuliivulia kabisa mkuu....na maiki tukaikamata,tukaimba na kuiweka wenyewe chini.Sema tu kitu kikiwa si chako siyo chako tu😉
Kwahiyo ulikuwa unaililia kabisa Kwa raha zako huku unamwambia jamaa aongeze Kasi ya kupiga makasia😜

Umeongea sahihi kabisa, kama kitu sio chako kitaondoka tu in anyway

By the way, mimi naendelea kuwatetea tu kwamba huenda Mwanaume aliweka then akakutelekeza bila kutegemea ukajikuta Singo Mama
 
Na wale wanawake wanaolea watoto wao wenyewe na kuwatunza Baba zao ambao hawana mbele wala nyuma kama Binti Kimoso anavyokulea wewe na mtoto wenu Prince Mtibeli wanaitwaje?
 
Nanukuu - "Mwanamke mwenye pesa asie na mme anaitwa Shugamami/Mshangazi, Yeye hayupo kwenye kundi la SingleMothers.."

Kwa uelewa wangu mdogo Mshangazi/Shugamami ni mwanamke mwenye umri umekwenda kwenda kidogo na ana pesa ya kutosha, anafukuzia vijana wadogo kwa ajili kuwa nao kiburudani tu anawalipa na kuwalea..

Swali langu : Mwanamke mwenye miaka 24 ambae alizalishwa tu na hana Mume, lakini huyu mwanamke anajimudu amejiajiri kwa biashara ndogondogo maybe anauza Juice na anajitegemea... Je yeye pia ni Mshangazi/Shugamami?
 
Huyo ni Binti wa shoka
 
Màda yako nimeisoma nikaielewa, ndio maana nikakujibu.

Hata mdau hapo juu nae amekusoma, akakuelewa, ndio maana nae ameona kosa lako la kimantiki kwenye maana ya neno "single"

Mantiki ya kwenye nini?
Unajua semantiki ya Lugha?
 
Sasa la kuandamwa haliondoi maana halisi ya Single parents mkuu usichanganye mafaili.

Tukija kwenye sababu za kuandamwa ni kutokana na tabia zao hasa wanaanzisha mahusiano mapya, baadhi ya hoja za wanaolalamikia hao single mothers ni kukosa msimamo na kuendeleza mapenzi na wazazi wenzao ilihali wako kwenye mahusiano mengine, ndio hapo watoa hoja wanasema ukiwa na mahusiano na Single mother hakikisha amekuonyesha kaburi la mwenzi wake.

Ikumbukwe Single mother wanaolalamikiwa sana na kuandamwa ni wale ambao wazazi wenzao wapo, sio wale wajane.

Sasa ukisema kwanini single fathers hawaandamwi sana basi ujue hawana changamoto kubwa maana kwenye hilo tunategemea walalamikaji wawe wanawake wanaoishi nao, sasa kama hawalalamiki tutawalazimisha walalamike ili kubalansi ikwesheni mkuu?

Na Mimi sipo kuondoa maana ya msingi ya neno single mother.

Nimetoa maana ya ziada ya single mother katika muktadha wa kinachoendelea kwenye jamii huku.
 
Na Mimi sipo kuondoa maana ya msingi ya neno single mother.

Nimetoa maana ya ziada ya single mother katika muktadha wa kinachoendelea kwenye jamii huku.
Hata hapa hauko sahihi, kama mambo yakiwa hivi unavyoyapeleka, basi lugha haitakuwa na maana.

Wewe ukisema neno "single" umelitafsiri kikwenu, nami nikalitafsiri kikwetu, na mwingine akalitafsiri kikwao, hapo itakuwa kitu gani kama sio vurugu?

Ndio maana nimekuona ukikwepa kwepa toka asubuhi, na hata mfano niliokupa kuonesha maana yako ya neno "single" kulihusianisha na hali ya uchumi sio sahihi, umeukwepa ule mfano kama huuoni mpaka sasa, ilimradi uendelee kutuzunguka tu...
 
Back
Top Bottom