ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Sawa babu! Sitoenda tenaKwahiyo Kuna mtu ameshakupeleka nyumbani kwake Kwa gia hiyo Mjukuu? 😜
Kesho usiende Tena, sawa eeh 🤗
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa babu! Sitoenda tenaKwahiyo Kuna mtu ameshakupeleka nyumbani kwake Kwa gia hiyo Mjukuu? 😜
Kesho usiende Tena, sawa eeh 🤗
Pesa inakupa Mume na Mke.Mbona wengi wame kata tamaa wameamua kushabikia mpira wa simba na Yanga kwa kujifanya mashangazi,......pesa haikupi mme kabisa
Nafata ushauri wa babu☺️Babu anazingua babe akee😜😜
Being singo haimanishi huna pesa, au we masikini huwezi kujikimu. Hapana simply means abandoned mother, no matter she rich or poor.Vivyohivyo hakuna Mwanamke anayejiweza anayeitwa single mother
Ishu kûbwa Hapo NI utegemezi Vs kujitegemea
Ila nao wanawake wanazingua kwanini wanawapa vijana wa ovyo utam🤔Umeandika bandiko refu sana la kuwalaumu hao single mother,umewaita wavivu,tegemezi na lawama kibao,
Swali langu ni kwamba,hao watoto wanaohangaika na Mama yao ambaye wewe unamuita tegemezi,Baba wa hao watoto hua wanakua wapi? Ni nani mwenye jukumu la kuwatunza hao watoto?
Mwanaume aliyekamilika anakubali vipi watoto wake wapitie maisha magumu mpaka Mama yao kutafuta msaada kwa Mwanaume mwingine?
Inawezekana pia kua hao Single mother wana matatizo yao mengine but sababu kuu ni kwa baadhi ya sisi wanaume kushindwa kuwatunza watoto wako wewe mwenyewe,
Moja ya sifa kuu ya Mwanaume ni kuihudumia familia yako,haijalishi nini kilitokea kati yako na huyo x wako.
Sio kweli 😜Nafata ushauri wa babu☺️
Mkuu don't be obsessed with money, pesa has nothing to do with marriage, but it can give you sex not a husband. tofautisha hivyo vitu viwili sex and husband.Pesa inakupa Mume na Mke.
Sipendi masingle faza mimiSio kweli 😜
It means that, not otherwise, non-conceptualBeing singo haimanishi huna pesa, au we masikini huwezi kujikimu. Hapana simply means abandoned mother,
Inakupa muulize anko ShamteMbona wengi wame kata tamaa wameamua kushabikia mpira wa simba na Yanga kwa kujifanya mashangazi,......pesa haikupi mme kabisa
Jidanganye 😁Sipendi masingle faza mimi
Sio kwel , mimi maisha yangu yamezungukwa na wanawake kwanzia mama yangu na binti yangu kipenzi na mtoto mmoja ambae yupo humu humu😜Mnatupenda wapi nyie, majambazi tu
Mimi nimeongea kilichopo kwèñye jamii. Labda wewe na wengîneo ndîo mtashndwa kuelewa ujûmbe WA nilichoandika.Umeandika bandiko refu sana la kuwalaumu hao single mother,umewaita wavivu,tegemezi na lawama kibao,
Swali langu ni kwamba,hao watoto wanaohangaika na Mama yao ambaye wewe unamuita tegemezi,Baba wa hao watoto hua wanakua wapi? Ni nani mwenye jukumu la kuwatunza hao watoto?
Mwanaume aliyekamilika anakubali vipi watoto wake wapitie maisha magumu mpaka Mama yao kutafuta msaada kwa Mwanaume mwingine?
Narudia, Mwanamke kama hawezi Kûtunza Watoto awapeleke Kwa Baba Yao.Inawezekana pia kua hao Single mother wana matatizo yao mengine but sababu kuu ni kwa baadhi ya sisi wanaume kushindwa kuwatunza watoto wako wewe mwenyewe,
Moja ya sifa kuu ya Mwanaume ni kuihudumia familia yako,haijalishi nini kilitokea kati yako na huyo x wako.
Ni ngumu sana kumpima mtu kirahisi na kumjua kua huyu ni wa hovyo au sio wa hovyo,Ila nao wanawake wanazingua kwanini wanawapa vijana wa ovyo utam🤔
Ni kuwatafutia faraja tu lakini hakuna kitakachobadilika.
Wewe kidogo unaweza kunishawishi,Sio kwel , mimi maisha yangu yamezungukwa na wanawake kwanzia mama yangu na binti yangu kipenzi na mtoto mmoja ambae yupo humu humu😜