Kaab msafi
Member
- Jun 13, 2013
- 60
- 115
Sasa wewe ndio "Single mtambalike" mkuuMimi mwanaume ninae tunza wanangu pekee yangu ,na huku mama zao wameshaolewa kwingine nitaitwaje mkuu?
Sent from my GIA-AN80 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe ndio "Single mtambalike" mkuuMimi mwanaume ninae tunza wanangu pekee yangu ,na huku mama zao wameshaolewa kwingine nitaitwaje mkuu?
Single mother ni single mother they don't need love
The best answer!Mimi nimeongea kilichopo kwèñye jamii. Labda wewe na wengîneo ndîo mtashndwa kuelewa ujûmbe WA nilichoandika.
Hili nilishaeleza kuwa, mama kama anaona hawezi kuwatunza Watoto awapeleke Kwa Baba Yao. Mwanamke anajijua Hana uwezo wa Kutoa Pesa za Watoto why abaki na Watoto kama siô ushenzi?
Kama Mwanamke ameng'ang'ania Watoto unategemea mwanaume Afanye nini?
Mama apeleke Watoto Kwa Baba Yao ili Baba asigawanye Pesa ili zitoshe Kûtunza Watoto Kwa pàmoja.
Mfano, wewe kipato chako NI Laki tatu. Umeoa na unawatoto wawili lakini kûna Mwanamke ulimzalisha, hivyo jumla unawatoto Watatu. Unategemea njia Ipi NI rahisi kumlea Mtoto WA nje Kwa Mshahara wa Laki tatu, je Mtoto huyo aletwe Hapo nyumbani kwako ili bajeti ya Laki tatu isigawanywe ale na nduguze au abaki nje Huko Kwa Mamaake apate kidunchu au asipate Kabisa?
Narudia, Mwanamke kama hawezi Kûtunza Watoto awapeleke Kwa Baba Yao.
Labda abaki nao Kwa makubaliano kuwa Baba atahudumia Mtoto huyo akiwa Kwa mamaake
Huduma ya Mtoto NI suala la Upendo na mahesabu ya kiuchumi.
Unaweza Ukawa na Upendo lakini mahesabu ya kiuchumi yakagoma ndîo maana njia rhiai NI aidha Watu wasiachane ila kama itawalazimu kuachana Basi Yule mwenye uwezo Ndio abaki na Mtoto
NaamThe best answer!
Single fazaMimi mwanaume ninae tunza wanangu pekee yangu ,na huku mama zao wameshaolewa kwingine nitaitwaje mkuu?
Kumbe😁Single faza