Tuweke hisia pembeni Israel ni ya Waisrael

ni propaganda tu, ukweli ni kwamba waisrael wana kwao na kwao ni Israel
The Israeli-Palestinian conflict dates back to the end of the nineteenth century. In 1947, the United Nations adopted Resolution 181, known as the Partition Plan, which sought to divide the British Mandate of Palestine into Arab and Jewish states.
 
Hapana itakubidi uende tena darasani ukapitie uzuri historia.

Eneo la Gaza lilikuwa chini ya waingereza na ni wao mwaka 1947 walikuja na mpango wa kuligawa ili upande mwingine wapewe Waisraeli, mpango uloitwa UN partition Plan for British Palestine.

Gaza ilikuwa chini ya uangalizi wa Waingereza kama ilivyokuwa kwa Tanganyika na uangalizi huo ulipoisha mwaka 1948 ndo wakaanza kugawa eneo hilo kwa pande mbili, wa kiyahudi "Jewish State" na wa kiarabu "Arab State".

Leo ni miaka 75 tangia taifa la Israeli litengenezwe mwaka 1948.

Waisraeli walokuwa nje nao wakapelekwa pale Palestrina na wakatafutiwa eneo ambapo wenyeji wenyewe Wapalestina wakaondolewa na wengine kupotezwa.

Wapalestina wakaja na vita ya kwanza kubwa ya mwaka 1967 (miaka 55 imepita) iloitwa Six Day War ambapo waisraeli walinogewa na ardhi walopewa ya Ukanda wa Gaza na kuanza kuchukua sehemu ya ardhi upande wa Ukanda wa Magharibi au West Bank.

Mwaka 2006 kulikuwa na vita ingine kati ya Waisraeli na Wapalestina ambapo Unada wa Gaza ulifungwa na wapalestina wengi kuuawa kwa mabomu na kushambuliwa kwa ndege za kivita.

Sasa hii yalingana kidogo na mfano wako wa wageni kupewa ardhi ya Ngorongoro na wamasai kuhamishwa kinguvu (hatufahamu kama wengi wameuawa kama wapalestina au la).

Lakini wageni hao hawajapewa ardhi ya Ngorongoro ili kuigeuza ni kamji kadogo ka Ngorongoro ingawa kwa dunia hii ya leo twaweza kuja shangaa siku moja tukaiona Ngorongoro imekuwa mji kamili wenye kila kitu na ni wale wenye pesa tu ndo wapaswa kuingia hapo.

Haya yote hufanywa na serikali dhalimu ambazo hazajali haki za binadamu na misingi yake.
Eneo la Gaza ndio lililogawanywa na UINGIREZA mwaka 1948?
 
Soma historia acha hizi hadithi za juzi, fukua historia ya tangu au kabla ya hapomahali kuitwa Palestine, au hao wanaojiita Wapalestina kabla hawajatokea Misri na kuhamia hapo, weka pembeni vitabu vya dini, isome historia kamili ya hapo mahali.
 
Hapana itakubidi uende tena darasani ukapitie uzuri historia.

Eneo la Gaza lilikuwa chini ya waingereza na ni wao mwaka 1947 walikuja na mpango wa kuligawa ili upande mwingine wapewe Waisraeli, mpango uloitwa UN partition Plan for British Palestine.

Gaza ilikuwa chini ya uangalizi wa Waingereza kama ilivyokuwa kwa Tanganyika na uangalizi huo ulipoisha mwaka 1948 ndo wakaanza kugawa eneo hilo kwa pande mbili, wa kiyahudi "Jewish State" na wa kiarabu "Arab State".

Leo ni miaka 75 tangia taifa la Israeli litengenezwe mwaka 1948.

Waisraeli walokuwa nje nao wakapelekwa pale Palestrina na wakatafutiwa eneo ambapo wenyeji wenyewe Wapalestina wakaondolewa na wengine kupotezwa.

Wapalestina wakaja na vita ya kwanza kubwa ya mwaka 1967 (miaka 55 imepita) iloitwa Six Day War ambapo waisraeli walinogewa na ardhi walopewa ya Ukanda wa Gaza na kuanza kuchukua sehemu ya ardhi upande wa Ukanda wa Magharibi au West Bank.

Mwaka 2006 kulikuwa na vita ingine kati ya Waisraeli na Wapalestina ambapo Unada wa Gaza ulifungwa na wapalestina wengi kuuawa kwa mabomu na kushambuliwa kwa ndege za kivita.

Sasa hii yalingana kidogo na mfano wako wa wageni kupewa ardhi ya Ngorongoro na wamasai kuhamishwa kinguvu (hatufahamu kama wengi wameuawa kama wapalestina au la).

Lakini wageni hao hawajapewa ardhi ya Ngorongoro ili kuigeuza ni kamji kadogo ka Ngorongoro ingawa kwa dunia hii ya leo twaweza kuja shangaa siku moja tukaiona Ngorongoro imekuwa mji kamili wenye kila kitu na ni wale wenye pesa tu ndo wapaswa kuingia hapo.

Haya yote hufanywa na serikali dhalimu ambazo hazajali haki za binadamu na misingi yake.
Umesema sehemu iliyogawanywa ni Gaza. Nakusubiri uje utolee majibu.
 
Huna ulijualo katika historia ya waPalestina zaidi ya propaganda.
Wamasai wameishi Ngorongoro maelfu ya miaka, wameondoshwa ili wapishe wageni, Mwaka 2100 Mmasai akirudi Ngorongoro wageni wana haki ya kumuita mmassai ni mvamizi?

ndivyo ilivyo nao waisrael walivamiwa wakahamishiwa ulaya kimabavu, Ardhi ya Israel wakahamia wapalestina lakini baada ya miaka kupita waisrael wakarudi nyumbani kwao ila cha ajabu wapalestina wakawa wabishi kwamba Israel ni nchi yao, wanatoa wapi jeuri hii?

Huwa naona Wapalestina wengine wanatumia hati za viwanja walivyouziwa kipindi waisrael wamehamishwa kimabavu kwenda ulaya,

Ni sawa na wamasai wakirudi Ngorngoro mwaka 2100 kisha wageni hawa waliopewa Ngorongoro waanze kupinga kwa kuonyesha hati walizopewa na serikali iliyowatoa wamasai kinguvu Ngorongoro.
IMG_20231010_025249.jpg
 
Ndio graduate wa bongo hawa.

Totally brainwashed with western narratives

Kwanza Lete ushahidi kwamba Waisrael waliwahi kuhamishwa kimabavu?

Pili hili unaliongelea kwa mtazamo upi?
 
Hakuna wala haijwahi kuwepo nchi inayoitwa israel kabla ya mwaka 1948.

Tusidanganyane.
Before 1948, the region that is now known as Israel was known as Mandatory Palestine, which was under British administration. Prior to British rule, the area was part of the Ottoman Empire for centuries. The population of Mandatory Palestine consisted of a diverse mix of Arabs, Jews, Christians, and other ethnic and religious groups. Throughout history, the land has been home to various civilizations and empires, including the ancient Israelite kingdoms, Roman and Byzantine Empires, Islamic Caliphates, Crusader states, and Ottoman rule. The area holds significant historical, religious, and cultural importance for multiple religions, including Judaism, Christianity, and Islam.
 
The ancient Israelite kingdom refers to the historical kingdoms of ancient Israel, primarily during the First Temple period (roughly 1000 BCE to 586 BCE). The Israelites were a Semitic people who claimed descent from the biblical patriarch Jacob, renamed Israel. They are recognized as one of the ancient Hebrew tribes.

The Israelite kingdom emerged after the period of tribal confederations, first under Saul, then David, and later Solomon, who is said to have built the First Temple in Jerusalem. The united kingdom split into two separate entities, the Northern Kingdom, known as Israel or Samaria, and the Southern Kingdom, known as Judah. These kingdoms faced internal struggles, external invasions, and shifts in political power until their eventual conquest by foreign empires. The Assyrians conquered and dispersed the Northern Kingdom in 722 BCE, while the Babylonians captured and exiled the people of the Southern Kingdom in 586 BCE, marking the end of the First Temple period.

The descendants of the ancient Israelites have a significant presence in modern Jewish communities and maintain a sense of historical and cultural connection to their ancient roots.
 
The establishment of Israel in 1948 led to an influx of Jewish immigrants from various parts of the world. These new immigrants, often referred to as "new Israelites" or "new immigrants," came from a range of countries, including Europe, North Africa, the Middle East, and other regions. Many of them were survivors of the Holocaust and sought refuge in Israel. Others migrated due to ideological or religious reasons.

The question of recognition is a contentious issue between Israelis and Palestinians. The Palestinian perspective is that the establishment of Israel led to the displacement of hundreds of thousands of Palestinians, leading to their becoming refugees or internally displaced persons. Palestinians generally dispute the legitimacy of Jewish immigration to Palestine and the creation of Israel, considering it a violation of their rights and their own claims to the land.

It is important to note that there are diverse perspectives and narratives within both the Israeli and Palestinian communities regarding the history and legitimacy of the State of Israel and the Israeli-Palestinian conflict. Resolving these complex issues is a subject of ongoing negotiations and international diplomatic efforts.
 
ni propaganda tu, ukweli ni kwamba waisrael wana kwao na kwao ni Israel
Waisrael wenyewe ndio hawa Wazungu?
Watu wenye blood type na genotype tofauti na semetic people?
Kwamba walivyofika Ulaya walievolve?
Hakuna Ashkenazi Jews mwenye asili ya middle east hata mmoja, hii ni political motives tu
 
Lakini Injili haisemi kuua mtu na kutompa mtu haki yake ya msingi. Wayahudi ni watu washenzi duniania. Wao ndio wameleta chaos duniani kote.
 
Tusaidie bhasi kutwambia hawa wazayuni kwao hasa niwap ili tuwapeleke huko wakaishi
Kwanini mimi? Licha kujisomea tu historia, Soma tafiti za Kisayansi zinasemaje:

(Nimekutafsiria kipande hapa kwa msaada wa google)

"Mama wanne" walioishi Ulaya miaka elfu moja iliyopita walikuwa mababu wa tano mbili za Wayahudi wote wa Ashkenazi (asili ya Ulaya). Hii ni hitimisho la timu ya watafiti katika Technion &; Taasisi ya Teknolojia ya Israel, Haifa, baada ya kulinganisha mlolongo wa DNA kutoka kwa Wayahudi karibu 2000 na wale wa watu 11,500 wasio Wayahudi katika watu 67 tofauti duniani kote.

Chanzo na soma zaidi:

Hao ndiyo 90% ya waliopo inayoitwa israel leo hii.

Kumbuka kabla ya 1948 kulikuwa hakuna nchi inayoitwa israel.
 
Wanasema eti ni kweli ile ardhi ni ya waislael toka kale na hata katika vitabu vitakatifu ila wanaoishi pale si wa Islalel, ni watu wamejikusanya tu si kizazi cha Ibrahim.

Sisi tunasemaje... hapo ndiyo kizazi cha Ibrahim, Issaka na Yakobo, kina mfalme Sauli na Daudi - kazi mnayo wafilisiti nyie, na hiyo ndiyo nchi yao ya ahadi.
 
Before 1948, the region that is now known as Israel was known as Mandatory Palestine, which was under British administration. Prior to British rule, the area was part of the Ottoman Empire for centuries. The population of Mandatory Palestine consisted of a diverse mix of Arabs, Jews, Christians, and other ethnic and religious groups. Throughout history, the land has been home to various civilizations and empires, including the ancient Israelite kingdoms, Roman and Byzantine Empires, Islamic Caliphates, Crusader states, and Ottoman rule. The area holds significant historical, religious, and cultural importance for multiple religions, including Judaism, Christianity, and Islam.
Hiyo "mandatory" ni jina au kitenzi hicho? Tusicheze na maneno, kabla ya 1948, hata ukiingia kwenye biblia ipo palestina tu.
 
Hakuna wala haijwahi kuwepo nchi inayoitwa israel kabla ya mwaka 1948.

Tusidanganyane.
Nchi ya Israel ilikuwepo ndugu, kilichofanyika 1948 ilikuwa ni makubaliano ya kugawana ardhi kati ya palestina na Israel
 
Wamasai wameishi Ngorongoro maelfu ya miaka, wameondoshwa ili wapishe wageni, Mwaka 2100 Mmasai akirudi Ngorongoro wageni wana haki ya kumuita mmassai ni mvamizi?

ndivyo ilivyo nao waisrael walivamiwa wakahamishiwa ulaya kimabavu, Ardhi ya Israel wakahamia wapalestina lakini baada ya miaka kupita waisrael wakarudi nyumbani kwao ila cha ajabu wapalestina wakawa wabishi kwamba Israel ni nchi yao, wanatoa wapi jeuri hii?

Huwa naona Wapalestina wengine wanatumia hati za viwanja walivyouziwa kipindi waisrael wamehamishwa kimabavu kwenda ulaya,

Ni sawa na wamasai wakirudi Ngorngoro mwaka 2100 kisha wageni hawa waliopewa Ngorongoro waanze kupinga kwa kuonyesha hati walizopewa na serikali iliyowatoa wamasai kinguvu Ngorongoro.
Sawa na Red Indians waMarekani au sio?
 
Hauna akili ww, hiyo ardhi ni ya palestina ila waisrael baba yao Abraham ndo mvamizi maan alihamia palestina akadai Mungu wake wa mchongo kampatia hiyo ardhi yeye na kizazi chake.

Hivi ww leo wamasai wanaondolewa alafu waarabu wanahamia hapo kwasabab tu baba yao wa iman ipewa hilo eneo la wamasai, yaan Mungu kakuta wamasai wanaishi alafu namwambia baba waarabu kwamba nakupa ardhi ww na kizaz chako[emoji706][emoji706].
 
Back
Top Bottom