Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,153
- 2,700
The Israeli-Palestinian conflict dates back to the end of the nineteenth century. In 1947, the United Nations adopted Resolution 181, known as the Partition Plan, which sought to divide the British Mandate of Palestine into Arab and Jewish states.ni propaganda tu, ukweli ni kwamba waisrael wana kwao na kwao ni Israel
Eneo la Gaza ndio lililogawanywa na UINGIREZA mwaka 1948?Hapana itakubidi uende tena darasani ukapitie uzuri historia.
Eneo la Gaza lilikuwa chini ya waingereza na ni wao mwaka 1947 walikuja na mpango wa kuligawa ili upande mwingine wapewe Waisraeli, mpango uloitwa UN partition Plan for British Palestine.
Gaza ilikuwa chini ya uangalizi wa Waingereza kama ilivyokuwa kwa Tanganyika na uangalizi huo ulipoisha mwaka 1948 ndo wakaanza kugawa eneo hilo kwa pande mbili, wa kiyahudi "Jewish State" na wa kiarabu "Arab State".
Leo ni miaka 75 tangia taifa la Israeli litengenezwe mwaka 1948.
Waisraeli walokuwa nje nao wakapelekwa pale Palestrina na wakatafutiwa eneo ambapo wenyeji wenyewe Wapalestina wakaondolewa na wengine kupotezwa.
Wapalestina wakaja na vita ya kwanza kubwa ya mwaka 1967 (miaka 55 imepita) iloitwa Six Day War ambapo waisraeli walinogewa na ardhi walopewa ya Ukanda wa Gaza na kuanza kuchukua sehemu ya ardhi upande wa Ukanda wa Magharibi au West Bank.
Mwaka 2006 kulikuwa na vita ingine kati ya Waisraeli na Wapalestina ambapo Unada wa Gaza ulifungwa na wapalestina wengi kuuawa kwa mabomu na kushambuliwa kwa ndege za kivita.
Sasa hii yalingana kidogo na mfano wako wa wageni kupewa ardhi ya Ngorongoro na wamasai kuhamishwa kinguvu (hatufahamu kama wengi wameuawa kama wapalestina au la).
Lakini wageni hao hawajapewa ardhi ya Ngorongoro ili kuigeuza ni kamji kadogo ka Ngorongoro ingawa kwa dunia hii ya leo twaweza kuja shangaa siku moja tukaiona Ngorongoro imekuwa mji kamili wenye kila kitu na ni wale wenye pesa tu ndo wapaswa kuingia hapo.
Haya yote hufanywa na serikali dhalimu ambazo hazajali haki za binadamu na misingi yake.
Hapana itakubidi uende tena darasani ukapitie uzuri historia.

Umesema sehemu iliyogawanywa ni Gaza. Nakusubiri uje utolee majibu.Hapana itakubidi uende tena darasani ukapitie uzuri historia.

Wamasai wameishi Ngorongoro maelfu ya miaka, wameondoshwa ili wapishe wageni, Mwaka 2100 Mmasai akirudi Ngorongoro wageni wana haki ya kumuita mmassai ni mvamizi?
ndivyo ilivyo nao waisrael walivamiwa wakahamishiwa ulaya kimabavu, Ardhi ya Israel wakahamia wapalestina lakini baada ya miaka kupita waisrael wakarudi nyumbani kwao ila cha ajabu wapalestina wakawa wabishi kwamba Israel ni nchi yao, wanatoa wapi jeuri hii?
Huwa naona Wapalestina wengine wanatumia hati za viwanja walivyouziwa kipindi waisrael wamehamishwa kimabavu kwenda ulaya,
Ni sawa na wamasai wakirudi Ngorngoro mwaka 2100 kisha wageni hawa waliopewa Ngorongoro waanze kupinga kwa kuonyesha hati walizopewa na serikali iliyowatoa wamasai kinguvu Ngorongoro.
Ndio graduate wa bongo hawa.Hapana itakubidi uende tena darasani ukapitie uzuri historia.
Eneo la Gaza lilikuwa chini ya waingereza na ni wao mwaka 1947 walikuja na mpango wa kuligawa ili upande mwingine wapewe Waisraeli, mpango uloitwa UN partition Plan for British Palestine.
Gaza ilikuwa chini ya uangalizi wa Waingereza kama ilivyokuwa kwa Tanganyika na uangalizi huo ulipoisha mwaka 1948 ndo wakaanza kugawa eneo hilo kwa pande mbili, wa kiyahudi "Jewish State" na wa kiarabu "Arab State".
Leo ni miaka 75 tangia taifa la Israeli litengenezwe mwaka 1948.
Waisraeli walokuwa nje nao wakapelekwa pale Palestrina na wakatafutiwa eneo ambapo wenyeji wenyewe Wapalestina wakaondolewa na wengine kupotezwa.
Wapalestina wakaja na vita ya kwanza kubwa ya mwaka 1967 (miaka 55 imepita) iloitwa Six Day War ambapo waisraeli walinogewa na ardhi walopewa ya Ukanda wa Gaza na kuanza kuchukua sehemu ya ardhi upande wa Ukanda wa Magharibi au West Bank.
Mwaka 2006 kulikuwa na vita ingine kati ya Waisraeli na Wapalestina ambapo Unada wa Gaza ulifungwa na wapalestina wengi kuuawa kwa mabomu na kushambuliwa kwa ndege za kivita.
Sasa hii yalingana kidogo na mfano wako wa wageni kupewa ardhi ya Ngorongoro na wamasai kuhamishwa kinguvu (hatufahamu kama wengi wameuawa kama wapalestina au la).
Lakini wageni hao hawajapewa ardhi ya Ngorongoro ili kuigeuza ni kamji kadogo ka Ngorongoro ingawa kwa dunia hii ya leo twaweza kuja shangaa siku moja tukaiona Ngorongoro imekuwa mji kamili wenye kila kitu na ni wale wenye pesa tu ndo wapaswa kuingia hapo.
Haya yote hufanywa na serikali dhalimu ambazo hazajali haki za binadamu na misingi yake.
Kwanza Lete ushahidi kwamba Waisrael waliwahi kuhamishwa kimabavu?Wamasai wameishi Ngorongoro maelfu ya miaka, wameondoshwa ili wapishe wageni, Mwaka 2100 Mmasai akirudi Ngorongoro wageni wana haki ya kumuita mmassai ni mvamizi?
ndivyo ilivyo nao waisrael walivamiwa wakahamishiwa ulaya kimabavu, Ardhi ya Israel wakahamia wapalestina lakini baada ya miaka kupita waisrael wakarudi nyumbani kwao ila cha ajabu wapalestina wakawa wabishi kwamba Israel ni nchi yao, wanatoa wapi jeuri hii?
Huwa naona Wapalestina wengine wanatumia hati za viwanja walivyouziwa kipindi waisrael wamehamishwa kimabavu kwenda ulaya,
Ni sawa na wamasai wakirudi Ngorngoro mwaka 2100 kisha wageni hawa waliopewa Ngorongoro waanze kupinga kwa kuonyesha hati walizopewa na serikali iliyowatoa wamasai kinguvu Ngorongoro.
Before 1948, the region that is now known as Israel was known as Mandatory Palestine, which was under British administration. Prior to British rule, the area was part of the Ottoman Empire for centuries. The population of Mandatory Palestine consisted of a diverse mix of Arabs, Jews, Christians, and other ethnic and religious groups. Throughout history, the land has been home to various civilizations and empires, including the ancient Israelite kingdoms, Roman and Byzantine Empires, Islamic Caliphates, Crusader states, and Ottoman rule. The area holds significant historical, religious, and cultural importance for multiple religions, including Judaism, Christianity, and Islam.Hakuna wala haijwahi kuwepo nchi inayoitwa israel kabla ya mwaka 1948.
Tusidanganyane.
Waisrael wenyewe ndio hawa Wazungu?ni propaganda tu, ukweli ni kwamba waisrael wana kwao na kwao ni Israel
Tusaidie bhasi kutwambia hawa wazayuni kwao hasa niwap ili tuwapeleke huko wakaishiHakuna wala haijwahi kuwepo nchi inayoitwa israel kabla ya mwaka 1948.
Tusidanganyane.
Kwanini mimi? Licha kujisomea tu historia, Soma tafiti za Kisayansi zinasemaje:Tusaidie bhasi kutwambia hawa wazayuni kwao hasa niwap ili tuwapeleke huko wakaishi
Hiyo "mandatory" ni jina au kitenzi hicho? Tusicheze na maneno, kabla ya 1948, hata ukiingia kwenye biblia ipo palestina tu.Before 1948, the region that is now known as Israel was known as Mandatory Palestine, which was under British administration. Prior to British rule, the area was part of the Ottoman Empire for centuries. The population of Mandatory Palestine consisted of a diverse mix of Arabs, Jews, Christians, and other ethnic and religious groups. Throughout history, the land has been home to various civilizations and empires, including the ancient Israelite kingdoms, Roman and Byzantine Empires, Islamic Caliphates, Crusader states, and Ottoman rule. The area holds significant historical, religious, and cultural importance for multiple religions, including Judaism, Christianity, and Islam.
Nchi ya Israel ilikuwepo ndugu, kilichofanyika 1948 ilikuwa ni makubaliano ya kugawana ardhi kati ya palestina na IsraelHakuna wala haijwahi kuwepo nchi inayoitwa israel kabla ya mwaka 1948.
Tusidanganyane.
Sawa na Red Indians waMarekani au sio?Wamasai wameishi Ngorongoro maelfu ya miaka, wameondoshwa ili wapishe wageni, Mwaka 2100 Mmasai akirudi Ngorongoro wageni wana haki ya kumuita mmassai ni mvamizi?
ndivyo ilivyo nao waisrael walivamiwa wakahamishiwa ulaya kimabavu, Ardhi ya Israel wakahamia wapalestina lakini baada ya miaka kupita waisrael wakarudi nyumbani kwao ila cha ajabu wapalestina wakawa wabishi kwamba Israel ni nchi yao, wanatoa wapi jeuri hii?
Huwa naona Wapalestina wengine wanatumia hati za viwanja walivyouziwa kipindi waisrael wamehamishwa kimabavu kwenda ulaya,
Ni sawa na wamasai wakirudi Ngorngoro mwaka 2100 kisha wageni hawa waliopewa Ngorongoro waanze kupinga kwa kuonyesha hati walizopewa na serikali iliyowatoa wamasai kinguvu Ngorongoro.
Ilikuwepo wapi? Weka ushahidi.Nchi ya Israel ilikuwepo ndugu, kilichofanyika 1948 ilikuwa ni makubaliano ya kugawana ardhi kati ya palestina na Israel