BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Baba wataifa ametusaidia sana kwenye kujenga umoja ila alibug sana kuforce muungano wa tanganyika na zanzibar..mpk leo sijawahi kujua aliwaza nn!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gobole,Hili jambo unalolizingumzia halina upya wowote, kila siku unaliongelea, labda km ni jipya ktk uzi huu ila kwa sisi tunaokufahamu humu ndani hakuna jipya...its too boring, plz tuambie kitu kipya ambacho hujawahi kukisema kt nyuzi nyingine.
Binafsi mimi Rais Shujaa wetu ni NyerereMwaka huu wa 2022 unatuingiza mwaka wa 61 toka Tanganyika tupate Uhuru.
Kwanza na "declare interest", binafsi nimezaliwa Tanganyika, kwa maana nimezaliwa kabla ya Uhuru na kabla ya muungano. Namshukuru Mwenyezi Mungu nimezipitia awamu 7 za uongozi wa nchi yetu hii ambayo sasa inaitwa Tanzania. Nimepitia awamu ya utawala wa Muingereza kwa kuzaliwa kabla ya Uhuru na na nimepitia awamu zote zilizofatia baada ya Uhuru.
Nimeiishi historia yetu, mengi nayatazama kwa mtazamo wa 'nilikuwepo". Kwa kuwa historia ya nchi huhusisha mambo mengi na awamu nilizopitia zilipita kwenye aina nyingi za kisiasa, kiuchumi, kimichezo, kijamii na kimaisha kwa ujumla. Nafahamu uzi huu utaibua hisia na mitazamo tofauti. Tuujadili kiuungwana, kwa heshima na taadhima na tuvumiliane mitazamo yetu, kwani kila mmoja wetu anayo anayoyafahamu kwa mtazamo wake a kwa kusikia kwake au kwa kusomeshwa kwake.
Kuna yaliofurahisha na kuchukiza katika historia yetu kwa kila mmoja wetu kwa muono wake.
Kwa mtazamo wangu, Mwalimu Nyerere alifurahisha alipoongea, alikuwa ni muongeaji mzuri na mchekeshaji mzuri. Katika uongozi wa nchi, naamini kabisa Nyerere alishindwa kabisa katika mambo ya uchumi.
Tuendelee....
1. Julius Kambarage NyerereMwaka huu wa 2022 unatuingiza mwaka wa 61 toka Tanganyika tupate Uhuru.
Kwanza na "declare interest", binafsi nimezaliwa Tanganyika, kwa maana nimezaliwa kabla ya Uhuru na kabla ya muungano. Namshukuru Mwenyezi Mungu nimezipitia awamu 7 za uongozi wa nchi yetu hii ambayo sasa inaitwa Tanzania. Nimepitia awamu ya utawala wa Muingereza kwa kuzaliwa kabla ya Uhuru na na nimepitia awamu zote zilizofatia baada ya Uhuru.
Nimeiishi historia yetu, mengi nayatazama kwa mtazamo wa 'nilikuwepo". Kwa kuwa historia ya nchi huhusisha mambo mengi na awamu nilizopitia zilipita kwenye aina nyingi za kisiasa, kiuchumi, kimichezo, kijamii na kimaisha kwa ujumla. Nafahamu uzi huu utaibua hisia na mitazamo tofauti. Tuujadili kiuungwana, kwa heshima na taadhima na tuvumiliane mitazamo yetu, kwani kila mmoja wetu anayo anayoyafahamu kwa mtazamo wake a kwa kusikia kwake au kwa kusomeshwa kwake.
Kuna yaliofurahisha na kuchukiza katika historia yetu kwa kila mmoja wetu kwa muono wake.
Kwa mtazamo wangu, Mwalimu Nyerere alifurahisha alipoongea, alikuwa ni muongeaji mzuri na mchekeshaji mzuri. Katika uongozi wa nchi, naamini kabisa Nyerere alishindwa kabisa katika mambo ya uchumi.
Tuendelee....
1. J. K.Nyerere1. Julius Kambarage Nyerere
2. Samia Suluhu Hasan
3. Jakaya Mrisho Kikwete
4. Benjamin William Mkapa
5. Ally Hassan Mwinyi
6.. John Pombe Magufuli
Kila mtu ashinde mechi zake
Glenn,Mzee wangu naomba niseme kidogo juu yako.
Unajua sumu ya udini huanza na mtu mmoja hatimaye huenea.
Unaonaje uanze kubadilika kidogokidogo kuhusu udini?
Mafikiri hao wazee wa kiislam unaweza kuwatazama kama Watanganyika wakazi wa Pwani kuliko kila wakati unawarejea kwa imani zao?
Umahiri wa kuongea ni moja ya sifa kubwa sana za Nyerere, ni kipaji bila shaka.Kwa hiyo mama yangu hapa tunajadili umahiri wa kuongea au uwajibikaji wa marais wetu.kama ni kuongea nchi ina wasanii sana hii zilongwa mbali zitendwa mbali,tuwajadili kwa vitu vizito na sio blabla zao nyerere hakushindwa kiuchumi,alijenga viwanda vingi na pesa ilikuwa na thamani sema idea ya ujamaa ilisalitiwa na wahuni wachache pia vita vya Idi Amini Dada vilimuangusha
Si tatizo la kutumia au kutokutumia mtaji.Alishindwa kwenye mambo ya uchumi !
Alitumia mtaji kiasi gani na alizalisha kiasi gani..., Inabidi tupime input na output pia
Sasa hivi unaweza kudhani watu wamefaulu kwenye uchumi kwa watu kupata vijipesa ila at what cost (kuna tofauti kati ya kutokuzalisha mali zaidi kuitunza wakati ukifika iweze kuzalishwa na kuamua yote kuiuza / kuigawa ili upate short term gains)
Kwahio at least hakufuja mtaji kuliko waliofuata mtaji wanafuja with nothing to show for it, apart from their own bellies...
Weka ushahidi.Ukiona uzi wowote wanashirikiana FaizaFoxy na Mohamed Said ujue kuna lengo maalum la kuchafua dini fulani au viongozi fulani.
Mambo yatajifunua kadiri watu watakavyoendelea kuchangia.
Tupe sifa za "shujaa" wako kivyako. Binafsi nimemsifu kwa kuwa ni muongeaji mzuri sana.Binafsi mimi Rais Shujaa wetu ni Nyerere
Na Rais fala kuliko wote ni mwendazake wa Chato. Tuendelee kumshukuru Mungu kwa kila jambo
Cc: mbunge wa chato MENGELENI KWETU
Gun...Ukiona uzi wowote wanashirikiana FaizaFoxy na Mohamed Said ujue kuna lengo maalum la kuchafua dini fulani au viongozi fulani.
Mambo yatajifunua kadiri watu watakavyoendelea kuchangia.
Safi kabisa mkuu umenena vilivyoGobole,
Usiguse suala la udini.
Tanganyika hapajukuwa na tatizo la ukabila wala udini wakati wa ukoloni.
Nyerere mwenyewe ni shahidi wa hili.
Kapokewa na Waislam katika mji wa Waislam wakamchagua kuwa kiongozi na wakaishi na yeye kwa salama na mapenzi makubwa hadi uhuru ulipopatikana.
Udini uliokuwapo wakati wa ukoloni ni wamishionari kutoa elimu kwa ubaguzi wakitumia shule zao kueneza Injili.
Mimi nakusihi hili suala tusiliguse.
Ama hili la kutuunganisha linahitaji maelezo.
Waafrika wa Tanganyika waliunganishwa na African Association toka mwaka wa 1929 na kutokana na chama hiki kikaundwa chama cha TANU 1954.
Kila palipokuwa na tawi la African Association pakawa na tawi la TANU.
Soma historia ya kweli ya TANU utawaona ni akina nani waliokuwa mbele ya chama hiki kuunganisha watu na nani walikuwa wanawatisha watu wasijiunge na TANU.
Kuhusu Kiswahili lugha hii imesemwa karne nyingi nyuma.
Nyerere hakuzaliwa anasema Kiswahili yeye lugha yake ni Kizanaki na wengi kutoka bara waliokuja pwani hali ni hii.
Tanzania imewahi kupata marais wawili tu, Nyerere na Mkapa. Wanabaki kuwa marais bora wa nyakati zote. Ninaamini walimaliza vizuri na Bwana Yesu Kristo na sasa wapo sehemu salama.Kwa mtazamo wangu, Mwalimu Nyerere alifurahisha alipoongea, alikuwa ni muongeaji mzuri na mchekeshaji mzuri. Katika uongozi wa nchi, naamini kabisa Nyerere alishindwa kabisa katika mambo ya uchumi.
Mkuu FaizaFoxy , kwanza asante sana kwa uzi huu, pili nikupongeze as you grow older, you transforms as an old wine, as old as it's gets, the better it becomes, you are wiser and more objective, nimefurahi leo umemuanzishia Mwalimu Nyerere, a positive thread bila kulitumia lile neno lako la laanatulah kila ukimtaja Mwalimu Nyerere. Thanks for this. Nasubiria kwa makini to get the real motive behind this thread. All the best.
P
Kama ni kwa mtazamo wako huo wa jina la Yesu, upo sahihi. Lakini kiuchumi naamini Nyerere alishindwa. Kwa Mkapa bado sijafika katika gumzo hili.Tanzania imewahi kupata marais wawili tu, Nyerere na Mkapa. Wanabaki kuwa marais bora wa nyakati zote. Ninaamini walimaliza vizuri na Bwana Yesu Kristo na sasa wapo sehemu salama.
Walipigania uhuru kama waislamu au kama watanganyika?Goble,
Hukupenda mimi kueleza niyajuayo kwenye nukta hii muhimu ya udini uliyoileta?
Michango yangu si 90% udini ni 100% kuhusu Waislam na Uislam na sijaelezwa kuwa hairuhusiwi.
Hili ndilo jipya ambalo wengi hamkuwa mnalifahamu.
Kuna yeyote hapa aliyekuwa anajua mchango wa Waislam katika kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika?
Ushakaa kitako ukajiuliza kwa nini hamkuwa mnaijua historia hii?
Kama yupo aliyekuwa anaijua aonyeshe kidole.
Hawa waliitana kuja kueneza dini. Wamejaa uzi mzima.Mkuu FaizaFoxy , wakati nikichangia uzi huu, nilikuwa nimesoma post no. 1 tuu ya thread starter, ya Dada Mtu, kumbe post number 3, Kaka Mtu, tayari ametia timu!. More and more concern about the motive behind!. Let me sit front seat and watch haswa kwa kuzingatia the equation is now balance, 3 X 3. Its very unfortunatey our 3 are all down, 6ft under, and the other 3, are still up!. Naendelea kusubiria the motive behind!.
P