Tuweke Historia Sawa. Tuwajadili Marais wa Tanzania tukianzia na Nyerere

Hakuna Cha maana mnachojadili zaidi ya UPUMBAVU tu.

Naona mmemiss sana kumtukana Nyerere.

Haya, Nyerere, Mkapa na Magufuli walikuwa Marais wabovu.

Mwinyi, Kikwete na Samia ni Marais BIRA KABISA.

Nimemaliza. Furahini sasa.
 
Udini mmeuchochea nyie vizee Kama wewe, kina sheikh Takadiri, Sheikh Ilunga Hussein, Sheikh Ponda.

Ndio maana enzi za zamani hata kina Bibi hawakuwa wakivaa Hijab, maana suala la dini halikuwahi kiwa Jambo serious sana Kama mlivyolifanya nyie takataka mliofuatia mpaka kuanza kuvalisha baraghashia, kanzu na hijab mashuleni na KUJENGA misikiti kwenye taasisi za umma.
 
Binafsi mimi Rais Shujaa wetu ni Nyerere

Na Rais fala kuliko wote ni mwendazake wa Chato. Tuendelee kumshukuru Mungu kwa kila jambo

Cc: mbunge wa chato MENGELENI KWETU
1. Julius Kambarage Nyerere
2. Samia Suluhu Hasan
3. Jakaya Mrisho Kikwete
4. Benjamin William Mkapa
5. Ally Hassan Mwinyi
6.. John Pombe Magufuli

Kila mtu ashinde mechi zake

You don’t get the drift, unatiririka tu, Wachaga wajinga sana kama Mbowe!

Hii ni divide et impera, amka!
 
Kama ni kwa mtazamo wako huo wa jina la Yesu, upo sahihi. Lakini kiuchumi naamini Nyerere alishindwa. Kwa Mkapa bado sijafika katika gumzo hili.
1. Nyerere
2. Mkapa
3. Kikwete
4. Samia
5. Mwinyi
6. Magufuli
 
Huyu Selemani Mamba alikuwa 'chief' wa eneo lolote hapa Tanganyika? Au ni mmoja wa wafusi wa Kinjekitile ?

Ile 'dawa' ya Kinjekitile ilikuwa na ukweli wowote au ilikuwa mbinu tu ya kuwahamasisha raia kupinga ukoloni ?....
 
Huu mjadala sasa hivi utabadilika kwenye udini watu wa Msikiti wataanza kupambana na ndugu zao wa Kanisani.
 
Si tatizo la kutumia au kutokutumia mtaji.

Kumbuka kuwa Nyerere aliichukua nchi ikiwa ni msafirishaji wa kwanza wa mazao ya mashamba katika Afrika, nchi yenye rasilimali tele, yenye miundombinu inayojitosheleza kwa wakati huo.
Unajua marginalization of the poor nations...., waliokuwa wanasafirisha kipindi hicho ndio wanunuzi washika mpini sasa unadhani baada ya hapo wangeendelea kununua kama kuna alternative ?, Pili unadhani waliondoka sababu walituonea huruma au it was no more profitable to run colonies...

Pili unadhani revampment ni kitu rahisi..., alivyorithi hio miundombinu n.k. alirithi wataalamu wangapi wenye technical know how..., pili bila kutaifisha baadhi ya shule n.k. na kulazimisha kwamba watu wote waweze kupata elimu angalau kidogo unadhani baadhi ya hawa waliopo hata wangesoma au wangeendelea kuwa watwana wa mabwana ?
Kwamba aliondoka na rutuba na rasilimali zote hadi leo karne kadhaa mazao hayawezi kuota tena ?, At the time alikuwa na excuse ya vitendea kazi vibovu kama vile pilau na sasa hivi tuna matractor na combined harvester still watu wana njaa !! (Kweli tunahitaji emancipation from mental slavery)
Katuachia misingi mibovu ya uchumi ambayo itatuchukuwa muda mrefu sana kujing'atua kutoka kwenye umasikini.

Nadiriki kusema, misingi mibovu aliyotuachia inatupelekea hadi leo hii hatupo huru kiuchumi kama nchi.
Hio misingi aliyotuachia ni kwamba alituroga ?!!! Narudia tena ni kama mzazi mmoja ameacha mashamba mtoto analia mzazi hakuuza hilo shamba ili aweze kusoma na mwingine kauza hayo mashamba ili mtoto aweze kujipatia vijipipi kwa muda mfupi alafu tunamsifu huyo mzazi aliyeuza badala ya kumlaumu huyo mtoto kwanini hilo shamba ambalo mzee hakuliuza kwanini hajaliendeleza !!!!

Africans problems are more mentally than physically.... And with such thinking which majority of us have..., am a afraid we have still got a long way to go...
 
Aaah peleka pumba zako kwengine, usinipake mafuta kwa mgongo wa chupa.

Punguani wahed.
 
Aaah peleka pumba zako kwengine, usinipake mafuta kwa mgongo wa chupa.

Punguani wahed.
I thought you have grown into a wise old lady as you grow older, you become wiser..., kumbe I was wrong!. Zamani kila ukimtaja Mwalimu Nyerere, ulikuwa ukimtukana laanatulah, kitendo tuu cha kumtaja Mwalimu Nyerere this time bila kumtukana, it's a good start ya kuzeeka vizuri maana...
P
 
Safi kabisa mkuu umenena vilivyo
Faana...
Sina maana kuwa halifai kujadiliwa ila ni jambo ambalo mimi nina taarifa ambazo naona vibaya kuziweka hapa.

Lakini kwa anaetaka kusoma historia hiyo asome kitabu cha Abdul Sykes nimeandika kila kitu.
 
Faana...
Sina maana kuwa halifai kujadiliwa ila ni jambo ambalo mimi nina taarifa ambazo naona vibaya kuziweka hapa.

Lakini kwa anaetaka kusoma historia hiyo asome kitabu cha Abdul Sykes nimeandika kila kitu.

🙏
 
Weka ushahidi.
 
Bila maelezo ya ziada uzi wako hauna nia njema
 
Pascal,
Kuna mambo yanasikitisha yanapotokea.

Mwaka wa 1995 nilialikwa na jumuia moja kuzungumza Mnazi Mmoja katika muhadhara.

Wazungumzaji walikuwa wengi na mimi nilipangiwa kuzungumza baada ya Isha.

Msikiti wa Manyema ni jirani sana na Viwanja Vya Mnazi Mmoja na pia Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba Avenue.

Baada ya sala natoka nje niende Mnazi Mmoja nikakutana na marehemu Sheikh Aboud Maalim, mmoja wa masheikh wenye kuheshimika sana.

Nikamwambia, ''Sheikh nimepangwa kuzungumza hapo Mnazi Mmoja na hivi ndiyo nakwenda lakini naogopa sana.''

Sheikh akanijibu, ''Unawaogopa watu au unaogopa mada yako?''
Shekh akaniombea dua nikaondoka.

Nilikuwa naogopa kwa sababu nilikuwa sijapata kuzungumza katika uwanja wa wazi na umma ulikuwa umefurika.

Miaka ile Waislam walikuwa wamekuja juu sana wanauliza mengi serikalini.
Mada yangu ilikuwa ''Historia ya Uhuru wa Tanganyika.''

Katikati ya mhadhara nikataja jina.
Nikapokelewa na kibwagizo.

Nilipigwa na mshangao kama nimesikia sawasawa au vipi.

Hii ilikuwa mara yangu ya kwanza kusikia kibwagizo hicho lakini nikawa kama vile akili yangu inakataa kuamini kama kweli nimesikia sawasawa.

Nikakisikia tena kibwagizo kile.
Niliingiwa na hofu na njia pekee kwangu ikawa ni kuacha kulitaja jina lile.

Nilishangaa kuwa hapo ndipo tulipofika.

Asubuhi hata saa nne haijafika cassettes za ule muhadha wangu ziko mitaani zinauzwa na zinanunuliwa kama vitumbua vya moto.

Nilialikwa Zentrum Moderner Orient (ZMO) Berlin kufanya mhadhara na mada yangu ilikuwa historia ya uhuru wa Tanganyika na mashujaa wake waliosahauliwa.

ZMO ni taasisi kubwa sana katika utafiti wa historia.

Katika mhadhara wangu nilieleza jinsi Tanzania ilivyobadilika na nikaeleza yale yaliyonifika Mnazi Mmoja.

Mhadhara wangu uliwafadhaisha wengi katika yale waliyosikia kutoka kwangu na wakaniambia kuwa wamepita wahadhiri wengi kutoka Tanzania na wamezungumza historia ya uhuru lakini yale waliyosikia kutoka kwangu yalikuwa mageni masikioni mwao.

Siku ya kuagana Mkurugenzi wa ZMO aliniita ofisini kwake na kuniuliza maswali mengi lakini swali moja ambalo lilinigusa sana ni pale alipotaka kujua nini kimesababisha hali ile?

Wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika mama zetu katika mikutano ya TANU walikuwa wakitengewa sehemu maalum wasichanganyike na wanaume.

Akina mama hawa walikuwa na wimbo wakiimba katika mikutano ile ubeti wa mwisho ulikuwa unasema hivi., ''In Shaa Allah Mungu yupo Tanganyika tutajitawala.

Naweka picha moja ya mikutano ya TANU ya mwanzo na tazama kushoto utaona weusi hayo ni mabaibui waliyokuwa wanavaa mama na shangazi zetu.

Pascal.
Ulikuwa unaujua wimbo huu au historia hii?
Umepata kujiuliza kwa nii leo imekuwa hivi?

Chuki hizi nini sababu yake?


Picha kwa hisani ya watoto wa Mohamed Shebe aliyekuwa mpiga picha wa TANU kwa kujitolea.
 
Hapo kwenye kufeli kwa uchumi nakuunga mkono.
Ishu ya ujamaa haikuwa sahihi kabisa. Ilileta uvivu sana. Ona wenzetu Kenya.
Kimlolongo wa madaraka Mkapa alitakiwa awe Rais wa kwanza
Sera za Magufuli ndio alitakiwa awe rais wa kwanza au wa pili.
Kikwete angefuata then hao waliobakia walitakiwa waje mwaka 2355
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…