Tuweke kumbukumbu sawa kilichomtuliza Lulu ndio kitakachomtuliza Paula wa Kajala

Tuweke kumbukumbu sawa kilichomtuliza Lulu ndio kitakachomtuliza Paula wa Kajala

Paula yupo mikono salama ya Vannboy mtu mbadi , msambaza Kadi nipo front kabisa , mchango laki , na ukumbini utapata vidali viwili, vipapatio viwili , vinywaji kama vyote na kila mda wahudumu watakuwa wanakuuliza vip umetosheka , ..... Wachangiaji wa ten ten msisogee kabisa ukumbini

View attachment 1753332
ki ukweli haka katoto kamesimama na kanafaa kwa matumizi ya starehe tu basi,vijana wasijitoe akili kuweka malengo hapa wataumia.
 
ki ukweli haka katoto kamesimama na kanafaa kwa matumizi ya starehe tu basi,vijana wasijitoe akili kuweka malengo hapa wataumia.
Tukiachana na mambo mengine , Paula ni chuma, wanawake wenzie lazima wamuonee wivu tuu hamna namna....sasa demu Sura ngumu kama mange kimambi anaweza msifia kweli Paula 😂😂 mpak konde boy kujificha bafuni na kutuma tango unafikir mchezo 😀😀🤣🤣😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 washa taaaaaaa . Daaah acheni nyie
 
Paula yupo mikono salama ya Vannboy mtu mbadi , msambaza Kadi nipo front kabisa , mchango laki , na ukumbini utapata vidali viwili, vipapatio viwili , vinywaji kama vyote na kila mda wahudumu watakuwa wanakuuliza vip umetosheka , ..... Wachangiaji wa ten ten msisogee kabisa ukumbini

View attachment 1753332
Honestly speaking binti NI nzuri sema ndo hivi mamake kashampoteza.
Mpaka hapo hawazi tena kujenga future,ni kudanga tu apate hela za kuonekana mjini,aende sambamba na mama, maisha yaendelee basi
 
Kwaiyo unataka kusema kwamba akatatembee na rayvanny alaf amgongeze ukutani akufe alaf aende segerea akajifunze ila ukumbuke tu makonda sio mkuu wa mkoa tena atatolewa na nani sioni kunenge kufanya ivo
Daddy is coming[emoji1]
 
Tuombe uzima tu cause si wanapenda bata na show off, so ilikumaintain bata na show off watashawishika tu kina Agness Masogange wapo wapi, bata bila kazi yakukupa kipato utashawishika tu kuenda maovu na malipo ya maovu huwa aibu wasipojirekebisha itawacost
Na zama za punda kufanya kazi ndo zimerudi...yetu macho.
 
Huruma ninamuonea PFank Majani kwani ndiye mhanga katika hili.
Tangu ile video ya utupu ya yule binti, majani ndio aliamua kukaa mbali na ile familia, japo alijitahidi kukana kwenye media lakini aliumia sana,

Na kipindi kile laiti Kajala angemruhusu Majani amchukue mtoto aishi nae pengine yasingetokea haya ya sasa japo wanasema mtoto alishaanza kuharibiwa na wasanii tangu yupo shule.
 
Paula yupo mikono salama ya Vannboy mtu mbadi , msambaza Kadi nipo front kabisa , mchango laki , na ukumbini utapata vidali viwili, vipapatio viwili , vinywaji kama vyote na kila mda wahudumu watakuwa wanakuuliza vip umetosheka , ..... Wachangiaji wa ten ten msisogee kabisa ukumbini

View attachment 1753332
Kumbe ndio huyu binti?. Amebahatika kuwa na mwili mkubwa kama wa mamaake,ila yeye ameongezea namba 8. Sura sio sana na mamaake wote wamekosa sura.
 
Ray hawezi kumuoa Paula na Paula hawezi kuolewa na Rayvanny, balehe inamsumbua,
Mwanamke tangu lini akaoa mwanamke mwenzie
giftmacha_official-___CNk2XNnL886___-.jpg
 
Paula yupo mikono salama ya Vannboy mtu mbadi , msambaza Kadi nipo front kabisa , mchango laki , na ukumbini utapata vidali viwili, vipapatio viwili , vinywaji kama vyote na kila mda wahudumu watakuwa wanakuuliza vip umetosheka , ..... Wachangiaji wa ten ten msisogee kabisa ukumbini

View attachment 1753332
Huyu anaweza kusonga ugali wa dona ukaiva? dunian kuna "wanawake wa kusuuzia rungu tu" na "wanawake wa kuoa".
 
Back
Top Bottom