missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,361
Lulu hajawa na kashfa za hivyo kiasi hiki? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja nicheke tuNahisi kama umemkosea sana lulu kumlonganiaha na paula, sizan kama lulu ashakuwa na kashfa za hovyo kiasi hiki, zaidi ya kashfa ya kutoka kimapenzi na kumuua The Great Kanumba