Tuweke kumbukumbu sawa kilichomtuliza Lulu ndio kitakachomtuliza Paula wa Kajala

Hakika ipo siku watapata funzo...

HAKUNA MWALIMU MKALI KAMA ULIMWENGU,,,huwa hatoi nafasi ya pili,,, hana msamaha wala aibu... NI bora ufunzwe na wazazi...

Ipo siku watajua hawajui
 
inaonekana kama unawaombea wapate msala ...ukisikia wachawi ndio hawa

kwani starehe zao unakereka na nini!!!
 
Nahisi kama umemkosea sana lulu kumlonganiaha na paula, sizan kama lulu ashakuwa na kashfa za hovyo kiasi hiki, zaidi ya kashfa ya kutoka kimapenzi na kumuua The Great Kanumba
Humjui Lulu kaka!huyu lulu kashawahi kuchanwa na viwembe kariakoo kisa Mme wa mtu!!!Paula hajafikia kwa Lulu lakini ndo anaelekea hukoo!bora Paula ana cheti cha form four!Lulu hana aliacha shule form two kisa usanii
 
Nahisi kama umemkosea sana lulu kumlonganiaha na paula, sizan kama lulu ashakuwa na kashfa za hovyo kiasi hiki, zaidi ya kashfa ya kutoka kimapenzi na kumuua The Great Kanumba

We jamaa inaonekana Lulú hukuwahi kumjua vizuri
Lulú hadi Marehemu John Komba alishapita nae enzi hizo kanakuja Dodoma kudanga session za bunge zikianza

KaLulu kameanza kubutuliwa kisi.mi toka kakiwa primary huko kutokana na ustar wake ktk uigizaji maana kalianza kuigiza kakiwa na miaka 12 na wajuba wanasema Dr Cheni ndie alianza kutafuna wakaja wengine kisha ndio baadae Kanumba akakadaka
 
😲😲😲😲😲😲haya yote magen kwangu, hv kipindi hcho inster haikuwepo eee
 
We jamaa inaonekana Lulú hukuwahi kumjua vizuri
Lulú hadi Marehemu John Komba alishapita nae enzi hizo kanakuja Dodoma kudanga session za bunge zikianza

KaLulu kameanza kubutuliwa kisi.mi toka kakiwa primary huko kutokana na ustar wake ktk uigizaji maana kalianza kuigiza kakiwa na miaka 12 na wajuba wanasema Dr Cheni ndie alianza kutafuna wakaja wengine kisha ndio baadae Kanumba akakadaka

Kapteni MBAKO si alikuwa na "MGENI"?? Kweli ni KAZEZE ni KAZEZE.
 
Labda zilikuwa tetesi kuwa ana 'Mgeni'
ama inawezekana walitumia 'gozi la ng' ombe' kwenye mjegejo

Si tetesi mkuu alikuwa na MGENI pure labda hapo kwenye kutumia gozi la ng'ombe.
 
Back
Top Bottom