Tuweke kumbukumbu sawa kilichomtuliza Lulu ndio kitakachomtuliza Paula wa Kajala

ki ukweli haka katoto kamesimama na kanafaa kwa matumizi ya starehe tu basi,vijana wasijitoe akili kuweka malengo hapa wataumia.
 
ki ukweli haka katoto kamesimama na kanafaa kwa matumizi ya starehe tu basi,vijana wasijitoe akili kuweka malengo hapa wataumia.
Tukiachana na mambo mengine , Paula ni chuma, wanawake wenzie lazima wamuonee wivu tuu hamna namna....sasa demu Sura ngumu kama mange kimambi anaweza msifia kweli Paula 😂😂 mpak konde boy kujificha bafuni na kutuma tango unafikir mchezo 😀😀🤣🤣😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 washa taaaaaaa . Daaah acheni nyie
 
Honestly speaking binti NI nzuri sema ndo hivi mamake kashampoteza.
Mpaka hapo hawazi tena kujenga future,ni kudanga tu apate hela za kuonekana mjini,aende sambamba na mama, maisha yaendelee basi
 
Kwaiyo unataka kusema kwamba akatatembee na rayvanny alaf amgongeze ukutani akufe alaf aende segerea akajifunze ila ukumbuke tu makonda sio mkuu wa mkoa tena atatolewa na nani sioni kunenge kufanya ivo
Daddy is coming[emoji1]
 
Na zama za punda kufanya kazi ndo zimerudi...yetu macho.
 
Huruma ninamuonea PFank Majani kwani ndiye mhanga katika hili.
Tangu ile video ya utupu ya yule binti, majani ndio aliamua kukaa mbali na ile familia, japo alijitahidi kukana kwenye media lakini aliumia sana,

Na kipindi kile laiti Kajala angemruhusu Majani amchukue mtoto aishi nae pengine yasingetokea haya ya sasa japo wanasema mtoto alishaanza kuharibiwa na wasanii tangu yupo shule.
 
Kumbe ndio huyu binti?. Amebahatika kuwa na mwili mkubwa kama wa mamaake,ila yeye ameongezea namba 8. Sura sio sana na mamaake wote wamekosa sura.
 
Huyu anaweza kusonga ugali wa dona ukaiva? dunian kuna "wanawake wa kusuuzia rungu tu" na "wanawake wa kuoa".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…