Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ungemwacha tu..darasa lolote lile lazma wawepo bongolala...we endelea kumwaga nondoFungua macho utazame,
1. Unasema enzi ya JK pesa ilikuwa ni haramu, naomba ufafanue kivipi? wakati watu walikuwa wanafanya kazi na kupata pesa, kwani kipindi cha JK pesa zilikuwa zinagawiwa bure? Kwanini useme eti zilikuwa za haramu?
2. Yaani wewe uchumi kudorora, mzunguko wa pesa haupo ndo unasema huo kwako ndo uchumi halisi? Kuwa serious mkuu.. fungua macho utazame tena kauli yako.
.........Mushi,Hii ni sehemu ya kwanza, nta cover sekta ya biashara, uwekezaji wa nje, viwanda, na ntaelezea kwa kina kuusu madeni ya taifa..
Ila conclusion kabisa ni kwamba 'Magufuli alichofanya ni kukopa pesa nying nje na kufanya plundering ya pesa za wafanya biashara kupitia kodi za kidhalimu ili kujenga uchumi ambao ulielemea katika projects kubwa za miundo mbinu ambayo bado hatujajua itakamilika lini'
wengine utatuonea tu,
specialization yetu ni kusoma na kuchangia tu
kuhusu hao waanzisha thread zenye nondo, itabidi tuwaeleweshe tu kuwa hata darasa lenye watoto watukutu wasiojali kuhusu shule zaidi ya kupenda ubishi wa Diamond Vs Ali kiba ,
bado huwa wana waalimu wanaomaliza syllabus kwa kutimiza wajibu tu
ijapokuwa huwa wanajua wanapanda maharage wakitegemea kuvuna mahindi..
"wasted energy"
Mwandiko wako tu unakutanabaisha ulivyo mweupe kichwani pure matagaKwa JK watu walikuwa wakifanya kazi gani? wakati vijana wengi waligezwa mapunda ya kubeba unga, biashara haramu ilishamili enzi za Jk mpaka kuuza viungo vya arubino,kwenye builder Cheng ndio usiseme watu walikuwa wakifa fojali ya kuhalibu shiling yetu,toka Magufuri ameingia madarakani mbona hatusiki dora kupanda? Magufuri alikuwa kiboko wa Mafisadi na wazembe ni hilo tu.
Mara paap! pasaka mjuba kafufukaVyovyote vile bora limefukiwa
Idiot.Kwa JK watu walikuwa wakifanya kazi gani? wakati vijana wengi waligezwa mapunda ya kubeba unga, biashara haramu ilishamili enzi za Jk mpaka kuuza viungo vya arubino,kwenye builder Cheng ndio usiseme watu walikuwa wakifa fojali ya kuhalibu shiling yetu,toka Magufuri ameingia madarakani mbona hatusiki dora kupanda? Magufuri alikuwa kiboko wa Mafisadi na wazembe ni hilo tu.
Yeye alimwombea beni Saanane? Risasi 16 za lisu mbona alikataza uchunguzi huru ? Azory gwanda unadhani mkewe na watoto wako kwenye trauma kiasi gani kupotea kwa baba Yao mpaka Leo siwezi kumuombea muuwaji alieuwa watu jambazi la chato Lile Mungu ka mmute milele.Kha!kha!kha!,Usimlaani Bali mwombee alale mahali pema peponi.
Mara paap! pasaka mjuba kafufuka
Hizi takwimu mbona zinaishia kwa kikwete, tupe za magufuli.Hizo nilizotoa siyo takwimu za Magu! Wala sijui takwimu za Magu ziko wapi bali hizo ni za World Bank. Ngoja niweke hiyo chati tena kutoka World Bank
View attachment 1741817
Amejenga masoko alafu wamachinga wapo kila sehemu, nini faida yake?Siwezi kuuelewa huu uchambuzi unless uniambie kwa nini viwanda vingi abavyo ni vya binasfsi na serikali vilikufa awamu zilizopita na vilianza fufuka awamu ya JPM. Swali lingine kama hali ilikuwa mbaya ya kiuchumi kwa nini tuliingia uchumi wa kati?
Wana wa Israeli walipokuwa wanatoka Misri kwenda Kanani walipitia misukosuko ya kila aina njiani, ilifika mahali wakaanza kumlamu Musa wakisema ni heri warudi kule walipotoka. Kwangu mimi Magufuli ataendelea kuwa Rais bora kuwahi kumshuhudia katika maisha yangu, kwasababu ya ujasiri wake hasa kwenye kutujengea misingi ya nchi yenye uchumi endelevevu kwa siku zijazo.
Kupanga ni kuchagua na ili kufikia maendeleo ya kweli lazima kuna kizazi kijotoe sadaka kwa ajili ya wengine. Wakiloni walivamia Afrika miaka hiyo bila kujali wanyama wakali na magonjwa wakachukua dhahabu na almasi wakaenda jenga nchi zao, leo wajukuu zao wanakula matunda ya jasho la mababu zao.
Ni kweli JPM hakuongeza mishahara na alitoa fao la kujitoa, aliongeza makato kwa wanufaika wa bodi ya mkopo nk, lakini wanachi tulimuelewa nia ya yake, sababu matokeo yake tuliyaona kila tulipo safiri ndani ya nchi hii.
Miradi mikubwa mikubwa kama SGR Dar to Moro takriban 7trill, Nyerere george 6.9trill, Daraja la busis 6.9bill zahanati, vituo vya afya na hospitali za rufaa kila mkoa, masoko na basi stend kila mkoa, ujenzi wa meli ziwa Victoria, Nyasa na Tanganyika, vyote hivi vilihitaji pesa. Kwa akili ya kwaida ukifikiria miradi mingi, ukiacha reli ya SGR ilikuwa inakamilika kabla ya 2024 na ndio maana hayat Rais Magufuli aliwaasa wafanyakazi wawe wazalendo na kwamba angeongeza mshahara kabla hajamaliza muda wake.
Miradi hii mikubwa aliyoianzisha JPM ndio ingeongeza ukusanyaji wa kodi kwa siku za mbeleni na ndio ikafanya nchi iweze kujitegemea. Narudia tena kusema Rais Magufuli alikuwa ni kiongozi mwenye maono makubwa sana tulichewa kumpata, tulipompata hajadumu. katuachia dira ya maendeleo ya taifa ambayo tukiifuata taifa linakwenda kujitegemea kwa kipindi kifupi.
Siku zote unapotatua matatizo kwa watu wengine unaweza kusababisha matatizo kwa wengine, hatotokea kamwe kiongozi atayewarisha wote. R.I.P JPM.
Mkuu unaweza kutaja viwanda vilivyoinuka upya wakati wa magu?Siwezi kuuelewa huu uchambuzi unless uniambie kwa nini viwanda vingi abavyo ni vya binasfsi na serikali vilikufa awamu zilizopita na vilianza fufuka awamu ya JPM. Swali lingine kama hali ilikuwa mbaya ya kiuchumi kwa nini tuliingia uchumi wa kati?
Wana wa Israeli walipokuwa wanatoka Misri kwenda Kanani walipitia misukosuko ya kila aina njiani, ilifika mahali wakaanza kumlamu Musa wakisema ni heri warudi kule walipotoka. Kwangu mimi Magufuli ataendelea kuwa Rais bora kuwahi kumshuhudia katika maisha yangu, kwasababu ya ujasiri wake hasa kwenye kutujengea misingi ya nchi yenye uchumi endelevevu kwa siku zijazo.
Kupanga ni kuchagua na ili kufikia maendeleo ya kweli lazima kuna kizazi kijotoe sadaka kwa ajili ya wengine. Wakiloni walivamia Afrika miaka hiyo bila kujali wanyama wakali na magonjwa wakachukua dhahabu na almasi wakaenda jenga nchi zao, leo wajukuu zao wanakula matunda ya jasho la mababu zao.
Ni kweli JPM hakuongeza mishahara na alitoa fao la kujitoa, aliongeza makato kwa wanufaika wa bodi ya mkopo nk, lakini wanachi tulimuelewa nia ya yake, sababu matokeo yake tuliyaona kila tulipo safiri ndani ya nchi hii.
Miradi mikubwa mikubwa kama SGR Dar to Moro takriban 7trill, Nyerere george 6.9trill, Daraja la busis 6.9bill zahanati, vituo vya afya na hospitali za rufaa kila mkoa, masoko na basi stend kila mkoa, ujenzi wa meli ziwa Victoria, Nyasa na Tanganyika, vyote hivi vilihitaji pesa. Kwa akili ya kwaida ukifikiria miradi mingi, ukiacha reli ya SGR ilikuwa inakamilika kabla ya 2024 na ndio maana hayat Rais Magufuli aliwaasa wafanyakazi wawe wazalendo na kwamba angeongeza mshahara kabla hajamaliza muda wake.
Miradi hii mikubwa aliyoianzisha JPM ndio ingeongeza ukusanyaji wa kodi kwa siku za mbeleni na ndio ikafanya nchi iweze kujitegemea. Narudia tena kusema Rais Magufuli alikuwa ni kiongozi mwenye maono makubwa sana tulichewa kumpata, tulipompata hajadumu. katuachia dira ya maendeleo ya taifa ambayo tukiifuata taifa linakwenda kujitegemea kwa kipindi kifupi.
Siku zote unapotatua matatizo kwa watu wengine unaweza kusababisha matatizo kwa wengine, hatotokea kamwe kiongozi atayewarisha wote. R.I.P JPM.
Anaweza aka survive kininja kama lisuTunagonga 16 bullets Kama za Lissu arudi alipotoka.
Baada ya utawala wake kama ungefikisha miaka 15 ingekuwa sio ajabu kukuta mwanamume/ mwanamke anatembea makalio yako nje.Magufuli alikuwa anarudisha Enzi za Mawe.JPM ametwaliwa ili watanzania milioni 60 wapone imagine angeendelea kwa miaka mitano nchi ingekuwaje? Na wale wapuuzi wengine walitaka atawale miaka 20 zaidi Mungu akasema nitaliponya taifa langu Tanzania.