Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Hahahaha akaona fursa dah hatar sana
 
Pole mkuu! Vipi lakini kwani hao paka ulikuwa na mpango wa kufuga idadi kubwa sana?
 
Duuh uko deep mkuu
 
[emoji1666][emoji1666] fact sana hii
 
Kuna sehemu nilipata jirani wa ajabu sana. Tupo eneo lenye mwinuko. Yeye ana nyumba upande wa juu yangu na pia ana nyumba nyingine upande wa chini yangu. Kwa hii nyumba yake ya chini analalamika maji ya mvua "kutoka kwangu" yanaenda kwake.....hataki (anataka nibaki nayo!? Sijui).

Mimi namwambia hayo maji sio yangu tu, ni mkusanyiko kutoka nyumba zote za juu (ikimwemo na yake mwenyewe) yanapita kwangu kuchanganyikana na kwenda huko chini. Ugomvi mkubwa! Nikampa sharti moja tu, ahakikishe kwa ile nyumba yake ya juu na wenzake wengine maji ya mvua hajaji kwangu, nami nitabaki na yangu. Hatuongei.....mvua ikinyesha maji yanafuata tu mkondo wake. Bahati nzuri hakuwa na cha kunifanya zaidi ya kunichukia na kutonisalimia tu.
 
nililewa kwakua milango yetu inafata nkajkuta nmelala seblen kwake et akamaind mpaka leo atusemeshan nangoja mkesha wa pasaka nilewe nkanye mlangon kwake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Majirani wengine wachawi aisee! Binadam wa kawaida huwezi kuwa na tabia hiyo
 
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…