Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

kipindi mimi bachela mke wake alikuwa akijipitisha sana ktk maskani yangu,hivyo basi mimi nikagusanisa hasi na chanya,from that moment till now ni mnuno wa aina yake
 
Unadhan mtu mwenye mishe zake anafatilia maisha ya watu! Hakunaga mkuu....usipende kuumia kwa vitu minor kama hiv mkuu...nafsi yangu naijua mwenyewe ww tulia fanya mambo yako tu again pole sana!....
Unaweza kufikiri nakufuatilia au naumia na maisha yako

Anyway wacha nimalize hii
 
Sasa kipi kinakusibu kuumia na comments zangu??...kifupi kuna maisha kila mtu anataman kuwa nayo esp mwanamke..( hata kuwa na 10000 kama hujawahj ishika ni hatua).ajabu Mungu ananijaalia ninayo hayo maisha....kafie mbele...
Kufa utafia mbele wewe muuza nyuchi, hayo ya kuumia na maisha yako umeyasema wewe mimi nimekupa mfano tu wa moja la msingi ulilonichukiza nalo

Kusababisha Mpauko afariki, iwe ulimuua au ulisababisha vyovyote mimi iliniudhi

Majisifu ya kujifanya unaweza kumbe huwezi ndio sababu ya kifo cha yule dogo
 
Ndiyo..nikakuuliza sasanunatakaje..yes nilimuua mm...! Nna raha ajabu..kingine?
 
Huyu wangari amehusikaje na hiko kifo??
 
Basi kuna mchaga kukwepesha msala akaondoa wachaga akatuweka wanyakyusa

Kuna mademu mafala sana[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…