Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
Mimi kwa upande wangu yamekuwa bora yote
kwann mkuuSimba yalikua maujinga tu yale
na mpira ni mtamu wanacheza kama fainalIla la yanga shalule wao limebamba aiseee
njoo ushushie na maji ya baridChapati na supu
ni kwel mkuu nimependa msemaji wa simba alivyoigia jana na leo nimependa wanavyopiga violetiUwanja umepunguza ladha ya tamasha
mechi tamu changanya na wale warembo ndo linaibebaLa Yanga kama tamu zaidi vile
hapana hakuna engo nayoitaftaYote bora labda kama kuna engo yako unaitafuta.