YoungPastor
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,031
- 1,940
Watu wa football tunaangalia mechi, wote wametuvuruga
Hii ndio 'engo' yako .Wahenga sio wapuuzi waliosema usimcheke mamba kabla hujavuka mto yanga walimcheka simba na wenyewe wamepigwa nyumban kwao
Mkuu, swali lako umetoa options mbili tu, kati ya simba au yanga! Sasa mbona wewe umetoa jibu ambalo halipo kwenye options zako..umejibu yote yalifana🤣🤣Mimi kwa upande wangu yamekuwa bora yote
Mimi kwa upande wangu yamekuwa bora yote
ni kweli tunamchango mdog na mchango huo mdogo unatosha kwenye jamii kuifanya kuwa boraVijana wajinga kama wewe mna mchango mdogo sana kwakweli