Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Wewe unaumwa! Kama wewe unaibiwa na hao watu unahisi mgando wako wa akili upo kwa kila mtu.Ila wachungaji na masheikh kukuibia kwa kivuli cha watumishi wa Mungu ni sawa eti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaumwa! Kama wewe unaibiwa na hao watu unahisi mgando wako wa akili upo kwa kila mtu.Ila wachungaji na masheikh kukuibia kwa kivuli cha watumishi wa Mungu ni sawa eti?
Kwa hiyo kero zimeisha!?KILA MTAA UNAPIGWA LAMI, MAJI YANATOKA, UMEME UMETULIA, SIJUI MNATAKA TUPIGE KURA WAPI?
Nikitafakari sioni mahala pa kulalamikia serekali hii ya awamu ya [SITA (6)] Kila sehemu mambo swafiii kabisa, kasoro ni ndogo ndogo,Kwa hiyo kero zimeisha!?
Sisi kwetu Sirari wenyeviti wa mitaa ni miongoni mwa watu wanaopora mali za watu.Kama mada inavyojieleza hapo juu natamani tuondokane na siasa za mihemko tuje kwenye siasa za hoja. Kuna wanaJF wanatamani kuamua nani wamchague na nani kwa sababu zipi. Nataka tusaidiane kupata sababu za kuacha watu.
Kwa mfano mimi nakaa Goba kwenye huu mtaa naichukia sana CCM kwa kuacha kutatua kero ya maji kwa makusudi kabisa.
Juzi kati hapa kaja Aweso yametoka siku mbili halafu yamepotea. Kwa hali hii lazima niwaadhibu
Hakika.hii barabara ya tarime nyamongo kiwango cha lami, imesimama miaka miwiili sasa
ni kero sana
Hakikakifo cha JPM. Rais ni mtu mzito sio wa kufa vile kama kuku. Hicho chama kiko kimya kimeuchubua tu mpaka leo bila kutolea ufafanuzi wowote juu ya yaliyotokea
Nikitafakari sioni mahala pa kulalamikia serekali hii ya awamu ya [SITA (6)] Kila sehemu mambo swafiii kabisa, kasoro ni ndogo ndogo,
Muhumu-
MUONAPO KERO ZIWASILISHENI KATIKA MKUTANO YA KATA, MSIKIMBIE MKUTANO YA KATA HUWA NI MUHIMU SANA SANA NDG WATANZANIA, NI PAHALA PA KUJENGA HOJA, NA KUDAI YALE YA MSINGI KWA MAENDELEO YA MITAA YENU, WAJINGA HUDHARAU MKUTANO HII NA KUJIONA WANA AKILI SANA, MATOKEO YAKE WANAKUJA KULALAMA KIJINGA HAPA, CHANZO CHA TATUZI NYINGI ZA MITAA NI KATIKA MKUTANO YA KATA ZENU, MSIDHARAU VIKAO HIVYO, NYAU NYI. Kata
Kata ipi labda ya huko unako kaa wewe wanatatua kero lkn hapa kwangu hata hiyo mikutano haipoNikitafakari sioni mahala pa kulalamikia serekali hii ya awamu ya [SITA (6)] Kila sehemu mambo swafiii kabisa, kasoro ni ndogo ndogo,
Muhumu-
MUONAPO KERO ZIWASILISHENI KATIKA MKUTANO YA KATA, MSIKIMBIE MKUTANO YA KATA HUWA NI MUHIMU SANA SANA NDG WATANZANIA, NI PAHALA PA KUJENGA HOJA, NA KUDAI YALE YA MSINGI KWA MAENDELEO YA MITAA YENU, WAJINGA HUDHARAU MKUTANO HII NA KUJIONA WANA AKILI SANA, MATOKEO YAKE WANAKUJA KULALAMA KIJINGA HAPA, CHANZO CHA TATUZI NYINGI ZA MITAA NI KATIKA MKUTANO YA KATA ZENU, MSIDHARAU VIKAO HIVYO, NYAU NYIE!.
Mkuu wanafanya kosa kwa mujibu ya kanuni, kikanuni kila baada ya miezi 3, kamati za Kata ni lazima ziite kikao cha wananchi Kujadili shida na matatizo!Kata ipi labda ya huko unako kaa wewe wanatatua kero lkn hapa kwangu hata hiyo mikutano haipo
Kero ni ccm ,tangu chama ichi kimekua madarakani ni hipi kero ilishughulikiwa mpaka wakasema hii tumekomesha ? anza na sekta muhim ,maji ,barabara , afya elim , tofauti ni kero mpya wameanzisha za tozo , kwenye elim Angalau Mwalim Nyerere , alitimiza wanafunzi walisoma bure , kula chai na mkate bure tena bleuband, walisafiri bure kwenda makawao wakati wa likizo nakurudi bule mashuleni , ni serikali hipi imefanya haya , acheni uliza maswali ya kijingaKama mada inavyojieleza hapo juu natamani tuondokane na siasa za mihemko tuje kwenye siasa za hoja. Kuna wanaJF wanatamani kuamua nani wamchague na nani kwa sababu zipi. Nataka tusaidiane kupata sababu za kuacha watu.
Kwa mfano mimi nakaa Goba kwenye huu mtaa naichukia sana CCM kwa kuacha kutatua kero ya maji kwa makusudi kabisa.
Juzi kati hapa kaja Aweso yametoka siku mbili halafu yamepotea. Kwa hali hii lazima niwaadhibu
Hebu acha mambo yako CHADEMA mmechukua majimbo zaid ya miaka 10 wengine mpaka 20 kabisa hakukuwa na jipya zaidi ya maandamano kila siku mitaani. Sasa hivi mmekosa agenda mnaanza kuingia mitandaoni kutafuta kero ambazo mliziacha zinashughulikiwa na chama tawala.Kama mada inavyojieleza hapo juu natamani tuondokane na siasa za mihemko tuje kwenye siasa za hoja. Kuna wanaJF wanatamani kuamua nani wamchague na nani kwa sababu zipi. Nataka tusaidiane kupata sababu za kuacha watu.
Kwa mfano mimi nakaa Goba kwenye huu mtaa naichukia sana CCM kwa kuacha kutatua kero ya maji kwa makusudi kabisa.
Juzi kati hapa kaja Aweso yametoka siku mbili halafu yamepotea. Kwa hali hii lazima niwaadhibu
Hapa hatujadili vyama tunajadili kero iliyopo mtaani kwakoHebu acha mambo yako CHADEMA mmechukua majimbo zaid ya miaka 10 wengine mpaka 20 kabisa hakukuwa na jipya zaidi ya maandamano kila siku mitaani. Sasa hivi mmekosa agenda mnaanza kuingia mitandaoni kutafuta kero ambazo mliziacha zinashughulikiwa na chama tawala.
Kaeni mtulie muone mama anavyopiga kazi na watu wa chama cha mapinduzi
Maji kila kijiji
Umeme kila kijiji
Barabara mpaka kwa babu yako kijijin
Vituo vya afya
Kero gani unataka au una shida na ndoa yako
#kidumu chama cha tawala
Matatizo ya maji kwani hawayaoni Hadi aweso aje alafu hizo kamati zinafanya kazi gani ndo maana mimi naona wamechoka kuongoza wapigwe chiniMkuu wanafanya kosa kwa mujibu ya kanuni, kikanuni kila baada ya miezi 3, kamati za Kata ni lazima ziite kikao cha wananchi Kujadili shida na matatizo!
WEKA HAPA KATA YAKO, ILI HATUA ZICHUKULIWE.
CC - @amos_makalla
Kwani ukistaarabika ndo kero zinaisha!?
Nafurahi nikiona bado kuna watu wna uchungu na nchi yaoNatamani kuandika kitu lakini sitaki kuwa keyboard warrior,
Pamoja na mazuri kiasi yanayoonekana lakini naamini nchi bado inaendeshwa kwa proaganda za miaka ya 80.
Vijana tukiamka tukawa taifa la leo tukatoka na kufanya maamuzi kuikumbusha hii serikali kuwa si ya chama x bali ni yawanchi, tukatadai mabadiliko/maboresho ya katiba na sheria kali kwa mafisadi na wasimamizi wa hovyo wa mali na miradi ya umma atleast nnaweza kusimama na kuandika kitu by the way tuendelee kula mtori
Tanzania nzima hamna keroHapa hatujadili vyama tunajadili kero iliyopo mtaani kwako