Pre GE2025 Tuwekee kero za mtaani kwako zinazokufanya uichukie CCM na usiipe kura chaguzi zinazokuja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo kero zimeisha!?
Nikitafakari sioni mahala pa kulalamikia serekali hii ya awamu ya [SITA (6)] Kila sehemu mambo swafiii kabisa, kasoro ni ndogo ndogo,
Muhumu-
MUONAPO KERO ZIWASILISHENI KATIKA MKUTANO YA KATA, MSIKIMBIE MKUTANO YA KATA HUWA NI MUHIMU SANA SANA NDG WATANZANIA, NI PAHALA PA KUJENGA HOJA, NA KUDAI YALE YA MSINGI KWA MAENDELEO YA MITAA YENU, WAJINGA HUDHARAU MKUTANO HII NA KUJIONA WANA AKILI SANA, MATOKEO YAKE WANAKUJA KULALAMA KIJINGA HAPA, CHANZO CHA TATUZI NYINGI ZA MITAA NI KATIKA MKUTANO YA KATA ZENU, MSIDHARAU VIKAO HIVYO, NYAU NYIE!.
 
Kama mada inavyojieleza hapo juu natamani tuondokane na siasa za mihemko tuje kwenye siasa za hoja. Kuna wanaJF wanatamani kuamua nani wamchague na nani kwa sababu zipi. Nataka tusaidiane kupata sababu za kuacha watu.

Kwa mfano mimi nakaa Goba kwenye huu mtaa naichukia sana CCM kwa kuacha kutatua kero ya maji kwa makusudi kabisa.

Juzi kati hapa kaja Aweso yametoka siku mbili halafu yamepotea. Kwa hali hii lazima niwaadhibu
Sisi kwetu Sirari wenyeviti wa mitaa ni miongoni mwa watu wanaopora mali za watu.
 
Nikitafakari sioni mahala pa kulalamikia serekali hii ya awamu ya [SITA (6)] Kila sehemu mambo swafiii kabisa, kasoro ni ndogo ndogo,
Muhumu-
MUONAPO KERO ZIWASILISHENI KATIKA MKUTANO YA KATA, MSIKIMBIE MKUTANO YA KATA HUWA NI MUHIMU SANA SANA NDG WATANZANIA, NI PAHALA PA KUJENGA HOJA, NA KUDAI YALE YA MSINGI KWA MAENDELEO YA MITAA YENU, WAJINGA HUDHARAU MKUTANO HII NA KUJIONA WANA AKILI SANA, MATOKEO YAKE WANAKUJA KULALAMA KIJINGA HAPA, CHANZO CHA TATUZI NYINGI ZA MITAA NI KATIKA MKUTANO YA KATA ZENU, MSIDHARAU VIKAO HIVYO, NYAU NYI. Kata

Nikitafakari sioni mahala pa kulalamikia serekali hii ya awamu ya [SITA (6)] Kila sehemu mambo swafiii kabisa, kasoro ni ndogo ndogo,
Muhumu-
MUONAPO KERO ZIWASILISHENI KATIKA MKUTANO YA KATA, MSIKIMBIE MKUTANO YA KATA HUWA NI MUHIMU SANA SANA NDG WATANZANIA, NI PAHALA PA KUJENGA HOJA, NA KUDAI YALE YA MSINGI KWA MAENDELEO YA MITAA YENU, WAJINGA HUDHARAU MKUTANO HII NA KUJIONA WANA AKILI SANA, MATOKEO YAKE WANAKUJA KULALAMA KIJINGA HAPA, CHANZO CHA TATUZI NYINGI ZA MITAA NI KATIKA MKUTANO YA KATA ZENU, MSIDHARAU VIKAO HIVYO, NYAU NYIE!.
Kata ipi labda ya huko unako kaa wewe wanatatua kero lkn hapa kwangu hata hiyo mikutano haipo
 
Mkuu wanafanya kosa kwa mujibu ya kanuni, kikanuni kila baada ya miezi 3, kamati za Kata ni lazima ziite kikao cha wananchi Kujadili shida na matatizo!
WEKA HAPA KATA YAKO, ILI HATUA ZICHUKULIWE.
CC - @amos_makalla
 
Kama mada inavyojieleza hapo juu natamani tuondokane na siasa za mihemko tuje kwenye siasa za hoja. Kuna wanaJF wanatamani kuamua nani wamchague na nani kwa sababu zipi. Nataka tusaidiane kupata sababu za kuacha watu.

Kwa mfano mimi nakaa Goba kwenye huu mtaa naichukia sana CCM kwa kuacha kutatua kero ya maji kwa makusudi kabisa.

Juzi kati hapa kaja Aweso yametoka siku mbili halafu yamepotea. Kwa hali hii lazima niwaadhibu
Kero ni ccm ,tangu chama ichi kimekua madarakani ni hipi kero ilishughulikiwa mpaka wakasema hii tumekomesha ? anza na sekta muhim ,maji ,barabara , afya elim , tofauti ni kero mpya wameanzisha za tozo , kwenye elim Angalau Mwalim Nyerere , alitimiza wanafunzi walisoma bure , kula chai na mkate bure tena bleuband, walisafiri bure kwenda makawao wakati wa likizo nakurudi bule mashuleni , ni serikali hipi imefanya haya , acheni uliza maswali ya kijinga
 
Kama mada inavyojieleza hapo juu natamani tuondokane na siasa za mihemko tuje kwenye siasa za hoja. Kuna wanaJF wanatamani kuamua nani wamchague na nani kwa sababu zipi. Nataka tusaidiane kupata sababu za kuacha watu.

Kwa mfano mimi nakaa Goba kwenye huu mtaa naichukia sana CCM kwa kuacha kutatua kero ya maji kwa makusudi kabisa.

Juzi kati hapa kaja Aweso yametoka siku mbili halafu yamepotea. Kwa hali hii lazima niwaadhibu
Hebu acha mambo yako CHADEMA mmechukua majimbo zaid ya miaka 10 wengine mpaka 20 kabisa hakukuwa na jipya zaidi ya maandamano kila siku mitaani. Sasa hivi mmekosa agenda mnaanza kuingia mitandaoni kutafuta kero ambazo mliziacha zinashughulikiwa na chama tawala.
Kaeni mtulie muone mama anavyopiga kazi na watu wa chama cha mapinduzi
Maji kila kijiji
Umeme kila kijiji
Barabara mpaka kwa babu yako kijijin
Vituo vya afya
Kero gani unataka au una shida na ndoa yako

#kidumu chama cha tawala
 
Ujenzi wa makanisa na misikiti kiholela mtaani kwetu Lizabon
 
Aisee Tabata nilinunuaga kiwanja kikubwa nikajenga kijumba changu uchwara nakula kodi zangu kiulaiini
Balaa lililopo ni kwamba kuanzia nvua zijazo za masika bonde la msimbazi ambalo lilikua zaidi ya mita 200 wakati nanunua, sasa litapita na kibanda changu kwa jinsi maji yanavyo kula aridhi kwa kasi
Yaani nilikua mbali mmno na mto

Serikali ilitudanganya wakati wa uchaguzi eti kuna hela za ufadhili zimetoka kujengea kingo za mto wa bonde la msimbazi kuzuia mmomonyoka wa aridhi, mwaka wa 5 huu nyumba zinaliwa taratibu na mmomonyoko kila mwaka na mto unazidi kupanuka.
Fidia hawataki kutupa lakini wanajadili kuanza kuwalipa mafao ya uzeeni wake za viongozi wakubwa😢

Hii inaniumiza sana
 
Attachments

  • 8D5F7EB0-01A4-4AE3-BDED-C4936AB77708.png
    8D5F7EB0-01A4-4AE3-BDED-C4936AB77708.png
    380.1 KB · Views: 1
Hebu acha mambo yako CHADEMA mmechukua majimbo zaid ya miaka 10 wengine mpaka 20 kabisa hakukuwa na jipya zaidi ya maandamano kila siku mitaani. Sasa hivi mmekosa agenda mnaanza kuingia mitandaoni kutafuta kero ambazo mliziacha zinashughulikiwa na chama tawala.
Kaeni mtulie muone mama anavyopiga kazi na watu wa chama cha mapinduzi
Maji kila kijiji
Umeme kila kijiji
Barabara mpaka kwa babu yako kijijin
Vituo vya afya
Kero gani unataka au una shida na ndoa yako

#kidumu chama cha tawala
Hapa hatujadili vyama tunajadili kero iliyopo mtaani kwako
 
Sababu kubwa kabisa ni maisha duni wanayoishi watanzania, yaani ni ya level ya mbwa wa Ulaya
 
Mkuu wanafanya kosa kwa mujibu ya kanuni, kikanuni kila baada ya miezi 3, kamati za Kata ni lazima ziite kikao cha wananchi Kujadili shida na matatizo!
WEKA HAPA KATA YAKO, ILI HATUA ZICHUKULIWE.
CC - @amos_makalla
Matatizo ya maji kwani hawayaoni Hadi aweso aje alafu hizo kamati zinafanya kazi gani ndo maana mimi naona wamechoka kuongoza wapigwe chini
 
Natamani kuandika kitu lakini sitaki kuwa keyboard warrior,
Pamoja na mazuri kiasi yanayoonekana lakini naamini nchi bado inaendeshwa kwa proaganda za miaka ya 80.

Vijana tukiamka tukawa taifa la leo tukatoka na kufanya maamuzi kuikumbusha hii serikali kuwa si ya chama x bali ni yawanchi, tukatadai mabadiliko/maboresho ya katiba na sheria kali kwa mafisadi na wasimamizi wa hovyo wa mali na miradi ya umma atleast nnaweza kusimama na kuandika kitu by the way tuendelee kula mtori
Nafurahi nikiona bado kuna watu wna uchungu na nchi yao
 
Back
Top Bottom