Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

Very well said mkuu,wengi tunajisahau pale mwanzoni gear tulizoingia nazo,unafukuzana na mwanamke anakukataa,unaanza kutafuta pesa,unamrubuni mpaka anakukubali.

Halafu unaanza kutamba mbele ya wenzako kuwa unashangaa yule mwanamke anavyojigonga kwako kumbe umesahau kuwa money talks,pesa ikiisha mwanamke akianza kukutenda unaanza kulilia kuwa mkeo siku hizi kabadilika.

Wife materials wapo ila wakati mwingine wanaume mihemko huwa inatuponza.
 
Mahusiano mengi yapo hivi.
Kuna mmoja anampenda mwenzake kweli na kuna mwingine anampendea kitu au yupo naye basi tu.

Ni mahusiano machache sana ya wanaopendana wote kweli kweli.
Yani mahusiano ni uwanja wa vita hapa nchini😅 maana tuna viziana tu!

Unampenda mtu ambaye yeye hakupendi aisee ni kazi kweli ku deal na drama za ajabu. Hakuna kitu kama upo na mtu basi tu hasa nyie wanawake huyo wa basi tu kuna sababu upo nae japo inaweza isiwe na mashiko.

Kupendana wote inawezekana sana sema tu maisha mara nyingi hayako balanced. Lazma mmoja awe chini mwengine awe juu😅 labda muanzie mapenzi toka sekondari! Muishi kwa upendo hadi utu uzima wenu.
 
Ni kosa kubwa sana kujidanganya kwamba mwanamke anapenda. Wee tumia hela ule mbususu basi.

Upendo ipo kwa mama yako tuu
 
Hawa watu bhna omba Mungu tu upate wakuendana na wewe tu vinginevyo ni vitu vizito tu

Mwanamke anakuimbia kila siku et anakupenda ila siku akikugeuzia mgongo unabaki unajiulza hivi ni huyu kweli😂😂na uwekezaji wako wote unabaki unasemana na moyo wako
 
Sasa pachaa ndio namimi naungana na wewe juu ya hilo juu Extrovert anatumabia uongo juu yeye mwenyewe anajua kuwa wanawake hawana upendo bali wanataka hela.
Hahahahah ukijiwekea notion hio unafeli mwanetu😅 binafsi nakuwaga na mademu hawanifanyi ATM na mapenzi wananipa tunafurahia maisha kwa activities mbali mbali na still maisha yanaenda. They are so inlove with my natural characters na vile huwa si fake life.

Kuna muda nashangaa kwanini wahuni mnalia lia ooh mapenzi pesa. Mbona wengine tunaishi nao tu bila kwere😅
 
Sasa hebu fanya kunipea hao wanawake wako ndio niwe nao
 
Mtoa mada,
Inategemea Lengo lililokupeleka kwenye mahusiano husika,

Sio Kila mahusiano lazima yahusishe mapenz (kupenda&kupendwa), aisee Nikuulize hivi mkuu Ntapenda wangapi Sasa?[emoji3]
Maana tayar nnae mpenda Sana, nayeye ananipenda Sana.

Nikwambie TU mkuu,
Mahusiano mengine tunaanzisha ili kutimiza haja zetu flani flani TU ili maisha yaendelee[emoji4]

Nikupe TU mfano,
Mwanamke nmempendea sex, uyo mwanamke hata akinipenda kwa 1000% bado mimi sitomjali kihisia coz mimi mwnyw simpendi hata kwa 1%.

Zaid Zaid,
Ntamjali kwa material things ili kurahisisha awe confortable kunitimizia malengo yangu yalonipeleka kwake (good sex).

Nije kwenye Suala la kuwekeza sasa,
Hakuna mwanaume TIMAMU anaweza kuwekeza kwa kahaba, kwa kahaba unafata mahaba na sio mapenzi.

Kwa kahaba tunahudumia, hatuwekezi.
Labda tumetofautina tafsiri ya kuwekeza.

Leo nikikuona Extrovert unalilia mapenz Kwa kahaba nae akupende

Ntakuona wee sasa umeanza kua CHIZI[emoji4]
 
Hahahah utazaa na mama yako sio? Mwanamke unamuhitaji sana tu mzee lazma upambane upate anaejielewa
Wee hapa nimekalia offer mbili za wanawake wanataka niwape mbegu...do kafri miaka inavyoenda wanawake wenyewe watatupa ofa tuwape mimba bila kuwaoa.
 
Yaani ni kuviziana. Muda wote mpo ready to attack na kukimbia.
Hayo ya sekondari yanakuwaga really sana ila baadae mmoja anafunuliwa dunia ilivyo anakengeuka. Anaona aah kumbe maisha yapo hivi na mimi nang'angania mapenzi ya njiwa?

Ndio ile alikiba anasema "nili force kujificha kule, kumba chaka langu ni hapa".

Cha msingi heshima tu hata kama haumpendi mtu kweli.
 
Umeongea fact[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…