Hii IPO pia hata kwa wanaume,Mnapendwa sanaaa wanawake na sisi hatuna baya ila sasa shida akili yenu mmeigawa katika mahitaji mengi, mnataka vitu vingi sana kwa wakati mmoja na hakila vitu vyote hivyo kamwe hamuwezi kuvipata kwa MWANAUME MMOJA sasa shida inaanzia hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahaha naamini ni ngumu kupata ila kuna pisi zina full Options mzee😅Hii IPO pia hata kwa wanaume,
Hapa mkuu Extrovert yeye anataka apate vitu vyote (mapenz na good sex) kwa mwanamke mmoja tu.
Hii haipo kabisa [emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo unashauri mafiga matatu sio?Mnapendwa sanaaa wanawake na sisi hatuna baya ila sasa shida akili yenu mmeigawa katika mahitaji mengi, mnataka vitu vingi sana kwa wakati mmoja na hakila vitu vyote hivyo kamwe hamuwezi kuvipata kwa MWANAUME MMOJA sasa shida inaanzia hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado hueleweki,Mwanamke akikupenda ngono atakupa free kwa mapenzi yote na hisia zake juu yako.
Hautakaa uwaze kuacha elfu 15 kila baada ya kugonga na wala hatalalamika[emoji28][emoji28][emoji28]
Una mioyo mingapi Sasa[emoji3]Mkuu mie nataka nipende wawili tu mkuu[emoji28] mke wangu na spea tyre moja ya kunivusha jangwani!
Kumbe ulikuja kabla ya kuitwa? Disregard my changes in my earlier msg,Mafiga matatu hayatakiwi😅 ni figa moja tu linatosha sema pulling iwepo sasa😅
Kwakweli ule ulkua Ni Unafiki proMax[emoji3]Ina maana ulikuwa unatuinjoy pale cardinal rugambwa siku ile [emoji28][emoji28]
Unaukumbuks ule Uzi wa marbella,Hahahahah amini kwamba mzee
Shwain kabisa.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahaha imeji type mkuu[emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahahaha aliokwambia wanaokula free wanakojoa pabaya ni nani😅Bado hueleweki,
Nishasema humu Kila mara.
Haina haja ya mwanamke wa nje anipende, maana Mimi nae simpendi.
NATAKA kufaidi TU papuchi yake.
Iyo sex ya kupewa bure hata siitaki, maana itakua chafu afu kwenye mazingira ya hovyo.
Ni Bora nipasuke nikojoe pazur, kuliko kula bure nikojoe pabaya.
Aisee wee jamaa una FUVU GUMU sana [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikula umeme kumbe😂Unaukumbuks ule Uzi wa marbella,
hivi pale ban ingenikosaje kwamfano?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haelewi uyu, labda ukamfunde[emoji4]Unapompenda sana mtu, awe mwanamke ama mwanaume wa jinsia yako, elewa yeye hakupendi kama unavyompenda wewe, yaani upendo wako wewe lazima uwe juu zaidi ya anavyokupenda yeye, huo ni mfumo, kwa hiyo katika upendo huo wewe utakuwa unaburuzwa.
[emoji124][emoji124][emoji124]
Kwanza unaanzaje kaka mpaka unataka kupoka kwa maji... Aaah!! C mchezo 😂😂😂
Cc Extrovert njoo usikie hii... Vyote unavipataje hivi ndani ya mtu mmoja, vingine mfundishe ili mdumuHii IPO pia hata kwa wanaume,
Hapa mkuu Extrovert yeye anataka apate vitu vyote (mapenz na good sex) kwa mwanamke mmoja tu.
Hii haipo kabisa [emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc Extrovert njoo usikie hii... Vyote unavipataje hivi ndani ya mtu mmoja, vingine mfundishe ili mdumuHii IPO pia hata kwa wanaume,
Hapa mkuu Extrovert yeye anataka apate vitu vyote (mapenz na good sex) kwa mwanamke mmoja tu.
Hii haipo kabisa [emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app