Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Me nabaki nawacheka, zile outfit ndo zinawaumbua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wanaume mafisi watapigwa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume enyewe nao wanatumia, mbna kazii ipoo.
 
Kuna kizazi cha watu wajinga wajinga.

So far.. PISI ya Mtandaoni sio kabisa. Kuna watu nawajua LIVE walivyo ila kwenye status sasa kama MZUNGU vile. Kutana nae uone kivumbi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi hiyo photolab ina tofauti gani wa kuzungumziwa hivi mbn mm sielewi maana watu walikuwa wanatumia filter snap na app mbalimbali kuedit picha.Sasa naona hii inatrend kupita maemezi n nn nipo nyuma ya pazia?
Hii iko extra miles zaidi ya edited apps.
 
Kazi wanayo, mimi hata photoshoot sijawahi kwenda kupoteza muda wangu.
Napigia kisimu changu biashara imeisha, sijichoshi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Semaa kweliii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanahangaika acha tu!
Wameji edit na kila aina ya mafilter wapi sura zimegoma,
Wamepigia pic juani wapate rangi lkn wapi!!
Ss hivi wameamua waingie kwenye hiyo photo lab…… ss outfit zinawaumbua wamekua sare sare maua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mmoja humu alitoa ushuhuda, alikutana na bonge la mama jeusi afu nene [emoji23][emoji23][emoji23]

Kabla hawajameet, unaambiwa full mibebishano kimalkia cha kuunga na bigijii kingi, lahaulah!! lakwata! Kumuona live age ya mama ake mzazi, yani anamzaa huku anapiga deki [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaa wee!!!
 
Back
Top Bottom