Wewe nipe account yako hilo nitajuaje niachie mimi π€£π sasa utaonaje kwani mim ndie niliepost? User name inayotakiwa ni ya mpost shombo
We unachotaka n ac yangu sio kumuona huyo wa maneno ya shomboWewe nipe account yako hilo nitajuaje niachie mimi π€£
Hatareee πNaona jana uliwapikiamo wageni chakula kitamu kweri kweriπ
π€£π€£π€£We unachotaka n ac yangu sio kumuona huyo wa maneno ya shombo
Naijua hiyoπππ€£π€£π€£
Nipe bas nawe mbona hivo??
Basi hiyo jpili tufanye unipikie mimi nije πHatareee π
Wageni ilikuwa mtafutano, wanaomba na jpili waje tena.
Nimewaambia βMNIKOMEβ mshageuza kwangu kwa mama ntilie π€£π€£π€£
Unaijua ndio vitu gani?!!Naijua hiyoππ
π nije nikute makomenti yanasema Half mwenyewe mfupi kama stuli ya mbilikimoUnaijua ndio vitu gani?!!
Mtoto wa kiume unakuwa muoga muoga π€£π€£π€£
Usinipambanishe na waume za watu dada!!Msalimie Countrywide π π π
πBasi hiyo jpili tufanye unipikie mimi nije π
kitu cha wali maharage na my wetu πkwa pembeniπ
Sema unapendelea msosi upi?
Niandae mahitaji kabisa π€£π€£
Miss u freshUsinipambanishe na waume za watu dada!!
Ana mkewe huyo bwana Countrywide anaitwa cute ohoo!! π€£π€£π€£
π€£π€£π€£π nije nikute makomenti yanasema Half mwenyewe mfupi kama stuli ya mbilikimo
Kama sio ugonjwa kwanini koment zinasomekaga hasi kwa sisi wafupi ?ππππ€£π€£π€£
Nipe bhana achana na maneno ya wapuuzi, kwani ufupi ugonjwa!!
Menu yako ngumu π€£π€£π€£kitu cha wali maharage na my wetu πkwa pembeni
Wewe me sio huyo unayemsema bhana π€£Miss u fresh
Kwani we hutumiagi?Menu yako ngumu π€£π€£π€£
Ila nitajitahidi, ss huyo my wako ndio ananichanganya huwezi kubadilisha tuweke hata mee au moo?
Nitajitahidi itoke km ya my wako π
Hata sukari ya u fresh ni kali sana πWewe me sio huyo unayemsema bhana π€£
Me natumia vitu vikali
Tatizo lenu wajuaji sana afu wabishi!!π€£π€£Kama sio ugonjwa kwanini koment zinasomekaga hasi kwa sisi wafupi ?πππ
Huu mkopo Kausha damu au chupi mkononiππnijue mapemaUje usuke hata mara moja ntalipa alafu utalipia kidogo kidogo π π