Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Humu sina shida napo fake id zinaruhusu fake face πAngalia vizuri had humu wapo ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu sina shida napo fake id zinaruhusu fake face πAngalia vizuri had humu wapo ππ
πππ€Bado imegoma nimecheka πππ
Sura za βNIPIGE TAFUβ hazibebeki
Sura zina stress zinashinda bar kunywa whisky na kuvuta shisha afu uiwekee lab ikubali nani kasema?? π€£π€£π€£
Hatareee ko wanajidouble fake ππHumu sina shida napo fake id zinaruhusu fake face π
Ndio ipo hivyoHatareee ko wanajidouble fake ππ
Hii App kama hueleweki inakutoa hivyo hivyo [emoji23][emoji23][emoji1787]Duuh na kutumia kote huko photolab bado picha mbovu. Ifikie hatua mjikubali tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
Nawewe unaitumia Raaavu?Hii App kama hueleweki inakutoa hivyo hivyo [emoji23][emoji23][emoji1787]
Weka picha tuoneNdugu watoto wakiume, wavulana, vijana na wanaume wote bila kusahau wazee wetu wanaume
Nawasalimu nyote kwa Jina la Jamuhuri ya wana JF.
Na wote tuseme JF idumu milele.
Ndugu zangu ujio wa app ya photo lab upo mjini na wale wazee wa kuview mapicha picha pamoja na kutumiwa picha tuweni makini sana tujitahidi kuonaa na watoto wa kike, mabinti pamoja na wanawake ana kwa ana (uso kwa uso) na siyo kutegemea kutumiwa picha ndugu zangu.
Teknolojia imekua na kila siku kuna ujio wa vitu vizuri vizuri ili kurahisisha maisha na kupendezesha dunia.
Ujio wa app ya photo lab umefanya picha za wanawake ziwe nzuri zaidi hivyo tujitahidi pia kukutana nao uso kwa uso kabla ya kuanza kuwekeza akili huko.
Naomba kuwasilisha.
Okay, Tumsifu Yesu KristuNdio ipo hivyo
Milele amina habari yako?Okay, Tumsifu Yesu Kristu
Yapo majukwaa husika mkuu usijipe taabu... jamani anzisheni mada za kuchochea mawazo ya kulipelekea taifa mbele - changamoto za kijamii, kiuchumi, kisiasa, kimaadili, ajira, n.k. Hizi akili za kila mara kuwaza katikati ya magoti na kitovu cha mwanamke, "Tigers of the East" tutaendelea kuimba kama kasuku tu.
Pole sana kwa yaliyokukuta!Ndugu watoto wakiume, wavulana, vijana na wanaume wote bila kusahau wazee wetu wanaume
Nawasalimu nyote kwa Jina la Jamuhuri ya wana JF.
Na wote tuseme JF idumu milele.
Ndugu zangu ujio wa app ya photo lab upo mjini na wale wazee wa kuview mapicha picha pamoja na kutumiwa picha tuweni makini sana tujitahidi kuonaa na watoto wa kike, mabinti pamoja na wanawake ana kwa ana (uso kwa uso) na siyo kutegemea kutumiwa picha ndugu zangu.
Teknolojia imekua na kila siku kuna ujio wa vitu vizuri vizuri ili kurahisisha maisha na kupendezesha dunia.
Ujio wa app ya photo lab umefanya picha za wanawake ziwe nzuri zaidi hivyo tujitahidi pia kukutana nao uso kwa uso kabla ya kuanza kuwekeza akili huko.
Naomba kuwasilisha.
Nzuri dia, za kwako?Milele amina habari yako?
Salama kabisa umepotea jukwaani mnoNzuri dia, za kwako?
Ninayo ndio for fun jaman. Tuache kuchukulia mambo serious [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Nawewe unaitumia Raaavu?
ππππ€£π€£π€£π€£π€£
Hakuna cha for fun wala for business ππNinayo ndio for fun jaman. Tuache kuchukulia mambo serious [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Aloooπ π πππππ€£π€£π€£π€£π€£
[emoji1787][emoji1787]Ila for nini? Ndio natumia sasa njoo unichapeHakuna cha for fun wala for business [emoji23][emoji38]