Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

[emoji23][emoji23][emoji23] Ila kuna baadhi ya picha unakuta mamikono yamepinda mara kidevu kinaangalia kwingne basi tafrani tupu.
Ndiyo
Ile ya zamani masharti kibao
Hata picha ya miwani inagoma kudetect
Na kama hujadirect macho kwenye camera inagoma.

Unakuta sikio limekatwa🤣.


Hii ya sasa ni noma sana..
Hata uiname,inanasa.
Khaa nimependa🤣

Ngoja challenge isinipite.
 
Back
Top Bottom