Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Kama hiki kipengele kinanihusu kilichobaki nikuzichanga kalataUnaye labda km kuna mtu unamlia mingle hapa hutaki ajue 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hiki kipengele kinanihusu kilichobaki nikuzichanga kalataUnaye labda km kuna mtu unamlia mingle hapa hutaki ajue 🤣🤣🤣
We ndo unayeliwa mingle? 🤣🤣🤣Kama hiki kipengele kinanihusu kilichobaki nikuzichanga kalata
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji23] ushafeli sinaga mke
Ndiyo[emoji23][emoji23][emoji23] Ila kuna baadhi ya picha unakuta mamikono yamepinda mara kidevu kinaangalia kwingne basi tafrani tupu.
Hizo za sasa labda ndio zinadatisha.Kwaiyo mnatudatidha kama tunakua tuanchati na Rihanna kumbe slay queen wa bongo
Mama la mamaa Hebu Fanya kutumia hio lab nikuone kwanza!Unaye labda km kuna mtu unamlia mingle hapa hutaki ajue 🤣🤣🤣
Napendekeza huu uwe uzi wa kutupia pic 🤣Mama la mamaa Hebu Fanya kutumia hio lab nikuone kwanza!
Au nasema uongo ?[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
Sikaziii 😂Unaye labda km kuna mtu unamlia mingle hapa hutaki ajue 🤣🤣🤣
Najua uwezi nipiga 😂Ona sasa ndio mana mpewa onyo mtapigwa kizembe sana [emoji81]
Vip mkuu mbona unagunaMmmmh
🤣🤣🤣Sikaziii 😂
Sina mke kabisaaa wapuuze maneno yako
Jirani 😂😂🤣🤣🤣
Hii imeenda jirani
Ngoja nikachekee kitchen 🤣🤣Jirani 😂😂
We jirani utanipotezea ua langu
😂😂 nshakujuaNgoja nikachekee kitchen 🤣🤣
Mie sijui hata [emoji125][emoji125]Au nasema uongo ?
Ebu tuone [emoji23][emoji23]Ah nimejaribu[emoji1787]
Kudadeq tushaanza kupewa miili mipya hapahapa duniani