Tuweni makini na wake za watu, kuna mtu kaumizwa kisa kutembea na mke wa mtu

huo ushenzi na ufirauni ni matokeo ya arab influence, kwenye mila na desturi zetu za kibantu hata hakuna mambo ya wanaume kubaka mwanaume mwingine kama form of punishment, tembelea vijiji vyetu mikoani au uliza watu waliokulia vijijini kama walishawahi kusikia mwanaume kabwakwa na kundi kundi la wanaume wenzake, uliza wamasai kama wana huo ushenzi na ufirauni.

huo ushenzi uko pwani tu ambako kuna arabic influence btw hata north afrika kuna ushenzi na ufirauni hivyo hivyo kama pwani ya tanzagiza, zanzibar au mombasa kwamba kundi la wanaume wanalawiti mwanaume mwenzao ...
 
Mbona hata jeshi la Israel (IDF) lina tuhuma nyingi sana za kuwalawiti wafungwa wa Palestina kama form of punishment?!
 
Hizi mada za UTATUZI WA MARINDA zimekuwa nyingi SANA

VINYEO vinapewa promo SANA
 
Pdidy ni mwarabu?
 
Huenda atakuwa ni member wa kile Chama cha "Kataa ndoa"!
Janani tunasisitiza sana Vijana muoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…