Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mzee ni mlala hoi tuKwanini usifikirie kuzaa na watu wenye status fulani, katika majukumu yangu hapa na pale awamu ya JK, nilijikuta nikiangukia kwa mwanamke fulani mwenye status yake awamu hiyo ya JK nilimpelekea moto hasa na tulibahatika kupata mtoto mmoja wa kike kwa sasa yupo zake nchi fulani anachukua master's yake.
Yale mapenzi yalikuwa valuvalu hakika wakati unakimbia sana.
Wanaume wote waliomo humu unawajua sura zao?? Unaweza kuwa na vingi ila punguza kujikwezaMimi hansome kuliko watu wote hapa JF, very handsome, hivyo na mke wangu mwarabu 75% ana kila kitu mrembo wa hali ya juu sana anatakiwa kuwa nacho, hips, tako, urefu 6 feet, mm 6.5ft, soft hair, watu wa Arusha sisi, i created and own multiple businesses, ila nachosema, kiukweli, ajira haina uhusiano na uzuri wa sura nzuri, nadhani good brain ndio inatakiwa, trust me, mwanamke mzuri awe mzuri kwa ajili ya kukupa good love incl. sex, ila ajira ni kitu kingine kabisa, sura haihusiki.
Awamu ya JK ni kuanzia 2005. Kwa hiyo ukakutana na mwanamke tuseme hiyo 2005 mkazaa mtoto na sasa yuko nje anasoma Master's. Huyo si ana miaka 16, wewe jasusi feki unatufunga kamba sana humuKwanini usifikirie kuzaa na watu wenye status fulani, katika majukumu yangu hapa na pale awamu ya JK, nilijikuta nikiangukia kwa mwanamke fulani mwenye status yake awamu hiyo ya JK nilimpelekea moto hasa na tulibahatika kupata mtoto mmoja wa kike kwa sasa yupo zake nchi fulani anachukua master's yake.
Yale mapenzi yalikuwa valuvalu hakika wakati unakimbia sana.
Mi nadhani status ndo kipaumbele kwanza
Unataka tufungue kila kitu boss ili muunge dot . Na nani kakuambia kila mtu enzi za jk ni jasusi what if nilikuwa shamba boy wa huyo mwanamke? Ama ilikuwa enzi za mzee nkapa...Awamu ya JK ni kuanzia 2005. Kwa hiyo ukakutana na mwanamke tuseme hiyo 2005 mkazaa mtoto na sasa yuko nje anasoma Master's. Huyo si ana miaka 16, wewe jasusi feki unatufunga kamba sana humu
Naomba hela ya kulaWewe mzee ni mlala hoi tu
Hela which?, hela where? hela who?Sio lazima kila mtu awe spika,wema ni mjinga tu,alitakiwa kuwa milionea,kapiga sana hela yule wema usimchukulie poa
Hivi mwanaume unajisiafiaje et we handsome kuliko wanaume wote jf?? Afu watu kama nyinyi ndo mnakuwaga na sura mbovu kama wakaanga sumuMimi hansome kuliko watu wote hapa JF, very handsome, hivyo na mke wangu mwarabu 75% ana kila kitu mrembo wa hali ya juu sana anatakiwa kuwa nacho, hips, tako, urefu 6 feet, mm 6.5ft, soft hair, watu wa Arusha sisi, i created and own multiple businesses, ila nachosema, kiukweli, ajira haina uhusiano na uzuri wa sura nzuri, nadhani good brain ndio inatakiwa, trust me, mwanamke mzuri awe mzuri kwa ajili ya kukupa good love incl. sex, ila ajira ni kitu kingine kabisa, sura haihusiki.
Kati ya Baba yako na mama yako Nani alimroga mwenzake?? Maaana kama mama yako angetumia hiyo formula ungekuwepo duniani wewe?? Au Baba yako angetumia hiyo formula ungekuwepo duniani wewe........??Najua kuna watu watanipinga ila huu ndio ukweli.
Muonekano wa mtu unaweza kumsaidoa kupata fursa au kukosa fursa fulani.
Kuna watu wengi nawajua wapo kwenye vitengo nyeti si kwa sababu wana uwezo kichwani bali muonekano wao umewabeba .
Wewe unayelilia ajira kabla ya kumlaumu Mungu hebu jiangalie kwenye kioo unamvuto? Unaombaje kazi inayokutaka udeal na watu huku ukiwa na sura au muonekano usiovutia?si ukasomee ufundi mchundo kama mimi,
Hitimisho,unataka wanao wasikose ajira?zaa na pisi kali uwasaidie watoto wako wasihangaike kutoswa kwenye interview ,
Nimeongelea kuzaa sio kuoa,tusioe jamani.
Najua kuna watu watanipinga ila huu ndio ukweli. Muonekano wa mtu unaweza kumsaidoa kupata fursa au kukosa fursa fulani.
Kuna watu wengi nawajua wapo kwenye vitengo nyeti si kwa sababu wana uwezo kichwani bali muonekano wao umewabeba.
Wewe unayelilia ajira kabla ya kumlaumu Mungu hebu jiangalie kwenye kioo unamvuto? Unaombaje kazi inayokutaka udeal na watu huku ukiwa na sura au muonekano usiovutia?si ukasomee ufundi mchundo kama mimi.
Hitimisho, unataka wanao wasikose ajira?zaa na pisi kali uwasaidie watoto wako wasihangaike kutoswa kwenye interview.
Nimeongelea kuzaa sio kuoa,tusioe jamani.
Wewe kweli popomaMuulize mama yako hayo maswali