Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
Usinichekeshe,kiufupi watu wenye akili hawaoi uzuri wanaangalia vitu mbalimbali,mwanamke awe smart kichwani na sehemu zingine.Unaonekana uko na uelewa na busara za kutosha, ni pm tuangalie namna ya kumsaidia huyu mtu kimawazo, mimi ni Afisa masurufu
Unaoa bogus eti uzae watoto wazuri,mjinga tu ndo atafanya hivo