Tuzae na wanawake wazuri ili watoto wetu wasikose ajira huko mbeleni

Sawa kwa bahat mbaya watoto waamue kufanana na wewe.
 
Sawa kwa bahat mbaya watoto waamue kufanana na wewe.
Kwenye somo la genetic ile kitu kizuri ndio huwa dominant,dk remmy alizaa na mzungu watoto wote walimfanana mama yao
 

Ulipata mtoto kwenye utawala wa JK na sasa hivi yupo zake nchi fulani anachukua Masters[emoji848][emoji848] .

Kwa age ipi 17 yrs?? Secondary alisoma lini? Degree alisoma lini na akiwa na miaka mingapi??? Chaiiiiiiiii.......
 
Awamu ya JK ni kuanzia 2005. Kwa hiyo ukakutana na mwanamke tuseme hiyo 2005 mkazaa mtoto na sasa yuko nje anasoma Master's. Huyo si ana miaka 16, wewe jasusi feki unatufunga kamba sana humu

[emoji2][emoji2] tumemshitukia.
 
Vp kuhusu mwanamama mrembo Christina shusho? Mbona watoto wamefanana na baba yao
 
Nakazia sana sana sana mkuu
 
Zaeni na wanawake wenye akili za kuzaliwa,uzuri ni ziada.ajira za KUTOA rushwa ya ngono zisiwapumbaze.kuna baadhi ya ajira wanahitaji wenye muonekanonmfano hoteli,hudma nk
Lakinikl Kuna zinazohitaji vichwa haswa.ingekuwa uzuri na shepu unamatter wakina tulia wasingekuwa hapa walipo Leo..baba zetu akina mizengo pinda wasingeshika nyadhifa sababu wengi mnawadiss kwa mionekano yao.
Btw hakuna mtu mzuri Wala mbaya.kila mmoja karithi Kwa waliomzaa na mwema mwenye kupendeza.
Na wanaomzaa ndo watadertmine uwezo wake wa kiakili uweje.watoto hurithi uwezo wa kiakili Kwa wazazi hasa mama.

Itoshe kusema mtoa mada hujakomaa kiakili.
 
We ni falaa😂😂😂
 
Huu ni ujinga wa kiwango cha juu,tengenezea mwanao njia ya mafanikio usisubiri afanikiwe kupitia viungo vyake.
 
When back part of the body is used for thinking process
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…