Tuzae na wanawake wazuri ili watoto wetu wasikose ajira huko mbeleni

Unaonekana uko na uelewa na busara za kutosha, ni pm tuangalie namna ya kumsaidia huyu mtu kimawazo, mimi ni Afisa masurufu
Usinichekeshe,kiufupi watu wenye akili hawaoi uzuri wanaangalia vitu mbalimbali,mwanamke awe smart kichwani na sehemu zingine.
Unaoa bogus eti uzae watoto wazuri,mjinga tu ndo atafanya hivo
 
Usinichekeshe,kiufupi watu wenye akili hawaoi uzuri wanaangalia vitu mbalimbali,mwanamke awe smart kichwani na sehemu zingine.
Unaoa bogus eti uzae watoto wazuri,mjinga tu ndo atafanya hivo
I concur with you Niwaheri, usinitoe nje ya malengo yangu ya kitume, ni pm tuone namna ya kuchanganya busara zetu tuzae matunda mema, amani iwe nawe
 
I concur with you Niwaheri, usinitoe nje ya malengo yangu ya kitume, ni pm tuone namna ya kuchanganya busara zetu tuzae matunda mema, amani iwe nawe
U can't be serious man,vuta pumzi kwanza.
 
Katiba itaandikwa upya, transparency itaongezeka, mambo ya kufanya kazi kienyeji yataondoshwa,
Akili, umahiri wa kazi na uadilifu ndio itazingatiwa zaidi n.k
kama Mąkosa yalifanyika hapo nyuma huku tuendako tarajia mabadiliko, tarajia maboresho.
 
Mambo ya elimu za kuungaunga ,
Form four failure kisha kuunga Open Universityy soko na ushindani utawatema.
 
Hata huko kwenye mahotel makubwa hawaangalii sura, wanajali huduma.
Siku hizi watu hawaangalii sijui uzuri, wanaangali vigezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…