Pre GE2025 Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025

Pre GE2025 Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ninachofurah tu, pamoja na watu kusema Chadema imekufa, lakini ndio chama kinachomulikwa zaidi, CUF kuna uchaguzi, nafasi ya mwenyekiti ina wagombea 9 akiwemo Lipumba lakini hakuna anayechambua

Taabu ni kuwa pamoja na kumulikwa:

IMG_20241225_180332.jpg
 
Hizo sera umezisikia wapi au unaokoteza mambo yakwenye mikutano na waandishhi wa habari unaita sera.huo ni uchaguzi wa ndani mambo ya watakifanyia nini chama watawaeleza wajumbe.nje ya hapo ni majungu na ufitini.punguza ushabiki maandazi.
 
Mbowe hana SERA hata moja, ni JINA TU anatembelea, tofauti na jina ni Pumba tupu
 
Hizo sera umezisikia wapi au unaokoteza mambo yakwenye mikutano na waandishhi wa habari unaita sera.huo ni uchaguzi wa ndani mambo ya watakifanyia nini chama watawaeleza wajumbe.nje ya hapo ni majungu na ufitini.punguza ushabiki maandazi.

Chawa kaeni kwa kutulia
 
Tambua maana ya sera ndugu.

"Sera ni asemayo mgombea kujinadi ili achaguliwe."

Au mgombea wako ayasemayo kujinadi hujayapenda?
Mkuu huyu lupweko anakuchosha hachana naye haeleweki na haelewi anachoongea ni kumstahi vinginenevyo unaweza kumtukanae.
 
Back
Top Bottom