Tuzioneni tozo kwa facts na namba, zinaumiza hapa wenye namba tu

Tuzioneni tozo kwa facts na namba, zinaumiza hapa wenye namba tu

Mi bora nitoe pesa nimtumie mtu kuliko kutumia bank kulipa
 
Wanataka kununua na kutembelea V8 bila kujali tunaumiaje sisi wapiga kura!
Dawa ni kusema hapana!
 
Inasikitisa sana,, ubaya hatuna pa kuongelea ila sidhani kama hii nchi ina wachumi kwa au washauri wa utawala kwa kinachoendelea...
1. Hakuna kitu kibaya kama double taxation..
a... umenikata PAYE
b.... bado hiyo hela unaifata bank unaikata tena eti tozo..
c..hiyo hiyo hela naihamisha mpesa unaifata tena wakati naihamisha,, baada ya hapo naenda kuitoa unaifata tena unadeal nayo unaita tozo..huu ni UFALA (sio tusi)
d... naenda dukani nako unasema unakusanya kodi hivyo bei zimepanda naenda kuumia..
e.. umeme nao unanikata kodi ya pango na nyumba nimepanga.. bado unakata service levy....

na hapa pana wizi nyumba ya vyumba vitano ili kusiwe na mgogoro wa umeme naweka mita tano ..unakata kodi vyumba vitano wakati vyote nyumba moja...

aseee
 
Wanataka kununua na kutembelea V8 bila kujali tunaumiaje sisi wapiga kura!
Dawa ni kusema hapana!
nadhani yabidi tu organise tugone kutumia bank na mitandao siku moja kwa pamoja na tuseme tu hapana tozo.. au siku hiyo tuvamie page zai u na kusema hapana
 
Back
Top Bottom