Tuzo kwa mwana JF! Awe hajawahi kutukana.

Erick una element za kimagambamagamba. Napinga ushnd wako.
Hata huyo alyeandaa tuzo naye ni gamba gumu.
 
Erick una element za kimagambamagamba. Napinga ushnd wako.
Hata huyo alyeandaa tuzo naye ni gamba gumu.
Haaaa unapinga kwanini?
Ongea na mwandaaji mi sina tatizo maana nimetangazwa na mwenyekiti na mwandaaji wa shindano....
We nipe hongera tu bwana Mtei Achana na roho za korosho....
 
huoni ni bora kutukana kuliko kufanya??
Kufanya ndo mbaya zaidi.
Hata mie sijui definisheni.
Definition ya matusi ina matatizo, kwani hata sisi tunaojadili hapa tumezaliwa. Sasa fikiria huo mchakato mzima wa kuzaliwa, matendo yaliyofanyika, vitendea kazi vilivyotumika...yote matusi.
 
Definition ya matusi ina matatizo, kwani hata sisi tunaojadili hapa tumezaliwa. Sasa fikiria huo mchakato mzima wa kuzaliwa, matendo yaliyofanyika, vitendea kazi vilivyotumika...yote matusi.
Matusi ni maneno ya aibu yanayosemwa mbele za watu.....
Si matendo Mammamia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…