Tuzo kwa mwana JF! Awe hajawahi kutukana.

Weye kijana Erickb52 mie nakupigia upatu wa zawadi, pia kuna mtu ka-hack account yangu, ngoja nimfuatilie na nita mhack mpaka fb kwake.
Ok sawa nipigie upatu mkuu maana nafaa sana....
Pia ntakusaidia kumjua huyo hacker....
 
Hujambo SL? Wale ndugu zako wa vietnam wazima?
Usitukane wala usisikie matusi ...asema bwana mola wako...Iga mfano wa Erickb52 ambae ndo mshindi mtarajiwa
Well....ni jambo jema BHT..Asante sana
 
mimi Erick52 sijaenda kanisani ndo maana naonekana sina upako leo....nafumba macho mniuombee....
ee baba Mungu wa mbinguni, mwondolee mapepo aliyonayo kijana wako huyu, aasharakata sharakata, obosarakati ombosadiki,...
 
Hahahahahaha yaani we Erick wewe
Mchakachuzi kweli loohhhh ...
Haaaa kwani hamnipendekezi?
Lol basi post zenu zinajigeuza kufuata ukweli wa anayestahili ambaye ni b52
Hahahaaaa
 
yaani sikuwezi...
Imebidi niwe mpole tu....
Najua nitapata kura 1 tu.....
Na kampeni meneja wako jana usiku walifumwa wakitembeza vibahasha.....

Nimejaribu kushindana nao nimeshindwa.....

Nakuachia ushindi.... Heri nijiunge kambi yako nitaambulia chenji loh

Teh teh milidhani ni sisiemu tu...lol
Siku hizi kila mahali ni kuchakachua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…