wewe nawe kumbe akili ndogo, sasa wiz akipokwa best african act atakuwa na kigezo gani kushindania worldwide actPunguzeni chumvi basi[emoji23][emoji23]..Ni tuzo ya BEST AFRICAN ACT tu na sio WORLWIDE ACT
Ukiona hainogi haikuhusu. Hahaha
ushindi wa mezani
hahaaahaaAcha roho mbaya kwa Mtanzania mwenzako.....huu ni ushindi wa kwetu wote japo wewe ulimpigia kura Wizkid ila kura zetu hazikutosha
Katika hatua ambayo imewafurahisha mashabiki wengi wa muziki nchini, MTV EMA wamepokonya tuzo ya Best African Act na Worldwide Act, Wizkid na kumpa Alikiba ambaye alistahili kushinda.
Siku chache zilizopita, kulitokea sintofahamu baada ya Wizkid kutangazwa mshindi ilhali kwenye website ya tuzo hizo, kura zilionesha kuwa ni Alikiba ndiye aliyeshinda.
Alikiba amethibitisha taarifa hizo Jumatano hii.
Amesema baada ya mashabiki wake kulalamika kuhusiana na mkanganyiko huo, MTV EMA walifuatilia na kukiri kuwa na makosa na kuutumia ujumbe uongozi wake kuwa Alikiba ndiye mshindi halali, na sio Wizkid.
“Sasa ndio nimepata confirmation kwamba ni kweli tuzo inakuja Tanzania na vile vile mimi siwezi kuzungumzia, nitasubiri mpaka nizishike,” amesema Kiba.
Muimbaji huyo amedai kuwa habari hizo amezipokea kwa furaha kubwa na kuwashukuru mashabiki wake kwa kumwezesha kushinda na kuwa nyuma yake.
Wakati hup huo Kiba amempongeza Wizkid kwa ushindi wa tuzo nyingine ya Afrima.
Hatua hiyo imemfanya Wizdik kukasirika na kuamua kufuta posts zote za tuzo hiyo kwenye mitandao yake na kusema "wajinga ni wengi mno hapa duniani, Mungu atusaidie tu"
Source: Bongo 5
Hiki kiuzi chenu nilikuwa nakipita tu, sasa ngoja niwatolee uvivu [emoji35] [emoji35]
Povu linamtoka wiz hahaaa chezea kupokonywa tuzo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Katika hatua ambayo imewafurahisha mashabiki wengi wa muziki nchini, MTV EMA wamepokonya tuzo ya Best African Act na Worldwide Act, Wizkid na kumpa Alikiba ambaye alistahili kushinda.
Siku chache zilizopita, kulitokea sintofahamu baada ya Wizkid kutangazwa mshindi ilhali kwenye website ya tuzo hizo, kura zilionesha kuwa ni Alikiba ndiye aliyeshinda.
Alikiba amethibitisha taarifa hizo Jumatano hii.
Amesema baada ya mashabiki wake kulalamika kuhusiana na mkanganyiko huo, MTV EMA walifuatilia na kukiri kuwa na makosa na kuutumia ujumbe uongozi wake kuwa Alikiba ndiye mshindi halali, na sio Wizkid.
“Sasa ndio nimepata confirmation kwamba ni kweli tuzo inakuja Tanzania na vile vile mimi siwezi kuzungumzia, nitasubiri mpaka nizishike,” amesema Kiba.
Muimbaji huyo amedai kuwa habari hizo amezipokea kwa furaha kubwa na kuwashukuru mashabiki wake kwa kumwezesha kushinda na kuwa nyuma yake.
Wakati hup huo Kiba amempongeza Wizkid kwa ushindi wa tuzo nyingine ya Afrima.
Hatua hiyo imemfanya Wizdik kukasirika na kuamua kufuta posts zote za tuzo hiyo kwenye mitandao yake na kusema "wajinga ni wengi mno hapa duniani, Mungu atusaidie tu"
Source: Bongo 5
Na akusaidie kweliToo many dumb people. God help us.
Nimemjibu aliyeandika kua akawwwmbia dada zake wa madale tuzo iko kariakoowabongo bhana sisi eti katuzo kenyewe kamoja, mara analinganishwa na chibu, chibu anaingiaje wakati habari ni ya kiba na wiz, btw umekubali kama kiba kachukua au?
hahaha 'us' sio 'me'. By WizkidNa akusaidie kweli
i saw this coming, Mada ikibadilishwa,, tuzo ikionekana haimstahili alikiba,!! AnywayHiki kiuzi chenu nilikuwa nakipita tu, sasa ngoja niwatolee uvivu [emoji35] [emoji35]
Kwanza mimi ntabaki kuwa tomaso mpaka nikiona Kiba amekabidhiwa hiyo tuzo otherwise naona kelele za chura tu hizi.
Na endapo akikabidhiwa kweli hiyo tuzo hii nadhani ndio itakuwa tuzo yake ya kwanza ya kimataifa lakini naona ameanza kwa kujitilia nuksi! Tuzo gani unaipata kwa kung'ang'aniza?? Kuandika mibarua kama mwanasiasa?? Kutuma mashabiki wako wakatukane watoaji tuzo ili upewe wewe???
Hainogi, haisisimui, haina mvuto..
Hata kama tuzo ikitokea (nasisitiza kama ikitokea) akapewa hiyo tuzo hakuna ubishi kuwa Katika kile kinyang'anyiro hakukuwa na msanii aliyefanya vizuri kuliko Wizz, sasa unajisikiaje kutukana mitusi kumshutumu aliyepewa tuzo kwa kustahili kabisa anyang'anywe upewe wewe??? Hebu tuwe wa kweli, Africa yote hii ni moja wazungu ndio walituwekea hii mipaka hivyo hata wanaigeria ni ndugu zetu na ndugu yetu Wizz amefanya vizuri kuliko msanii yeyote yule mwaka huu. Mnaweza kuleta ubishi wa kupiga kura na mambo gani sijui lakini hamuwezi kubisha kuwa Wizz ni msanii bora mwaka huu kuliko msanii yeyeto yuke Afrika.
Naijua hulka ya Wizz na naijua hulka ya meneja wake Mr. Sande, inawezekana kabisa baada ya mashabiki wa kiba kufululiza kumtusi kwenye mitandao, labda wamesusa na wameamua wairudishe kwa hiari yao hiyo tuzo! Wizz sio mtu mwenye kukodolea macho tuzo, ni msanii anayejua thamani yake hata usipompa tuzo ndio maana kamwe huwezi kumkuta anahamasisha apigiwe kura. Ni mtu yuko bize na hustle zake, hanaga hizi drama za tuzo tuzo, binafsi kuna siku nimewahi kuongea na Ricardomomo yuke meneja wa WCB nikamshauri wamfanye Diamond kufuata mfano huu wa Wizz unaoonyesh ukomavu na kujitambua.
Mnasema kuwa mashabiki wa mondi walikuwa wanamtukana Davido na bado akapata collabo!! Aisee inamaana hamkumbuki au mnajisahaulisha makusudi??
Collabo ya Number 1 ilirekodiwa mwezi novemba 2013, video ikafanyika January 2014 na nyimbo ikatoka february mwaka huo. Bifu la mondi na davido lilianza mwezi wa 11 baada ya tuzo za channel O. Kwa ufupi bifu lao lilianza mwaka baada ya mwaka mmoja kupita toka collabo ifanyike..
Sasa juzi juzi Kiba amemgomea Wizz kupanda jukwaani mombasa kabla yake, leo mnawaandikia barua MTV wampokonye tuzo wampe yeye kiba.. Hivi mnadhani atawafikiriaje?? Akiwanyima collabo mtasema mondi kafanya figisu kwasababu ni maswahiba na Wizz?? Mnajiharibia wenyewe kila siku na mnakesha kutafuta mchawi wakati mnajiroga wenyewe!!
Kumbukeni Wizz ndiye mwanamziki mwenye mashabiki wengi zaidi huko west africa kwasasa, hivi vitendo mnavyomfanyia kumtukana na kumuandama kiasi hiki mnadhani mashabiki wake wataanza kumchukuliaje msanii wenu??? Kinyongo wanachokitengeneza dhidi ya msanini wenu itafanya iwe ngumu sana kwa Kiba kupenya west africa..
Narudia tena na tena, kiba hana washauri, hana watu strategic, hana gret thinkers, watu wanaowaza kibiashara kuhusu mziki, hana watu mahiri wenye uwezo wa kunetwork, hana management yenye kufikiri nje ya boksi.
Umahiri pekee walionao ni kulalamika, kuongeza maadui kila uchwao, kutafuta sympath kwa jamii hata kwa kupotosha, kujihisi wanajua ilhali wana mengi bado ya kujifunza, kumpumbaza msanii wao kwa kumuwekea kioo mbele yake mfano wa hadubini ili ajione mkubwa kuliko uhalisia.. Hii itawagharimu sana.!
Kiba ni msanii mzuri na anakipaji kikubwa but he has a long way to go.
The Bold.
Haters[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mtakoma mwaka huu na badooo!!! Nakumbuka tuzo alipopewa wizkid mliponda kwamba Ali kiba hakustahili sa hivi haki inatendeka bado manonyesha chuki za waziwazi, HV kwann nyie team domo na domo wenu na sallam mnamuonea wivu king wetu kwa haya mafanikio yake , acheni roho mbaya basi sisi mbona tumenyamaza
Ali kiba kapewa ya best african act iyo ya worldwide act anabaki nayo wiz kid ndo maana hata kwny page ya mtv haijafutwaAsanteeee!! Taarifa tamu hii,,, haters wanajibalaguza!! Oooh hainaogi
Ushindi wa mezani
KAMA HAINOGI JUA TUU KUWA HUJAFURAHIA!!! Mana siye mashabiki tunajua utamu wake,, wewe usiye shabiki wake automatically utaiona chungu..
Tunawaruhusu mjibaraguze tuu
Sibishanagi na wasiojua kama wewewewe nawe kumbe akili ndogo, sasa wiz akipokwa best african act atakuwa na kigezo gani kushindania worldwide act
Mkuu Kiba na menejimenti yake wamefanya kitu cha aibu.. Watu waliopo kwenye industry watakuwa wananielewa!!i saw this coming, Mada ikibadilishwa,, tuzo ikionekana haimstahili alikiba,!! Anyway
Wizkid achukulie atakavyochukulia,, kwa hivyo mlitaka hatakama amepewa ushindi usio halali tusilalamike kisa atatunyima collabo???? Yaani alikiba ashinde halafu aache kupewa tuzo kisa kutafuta sympathy kwa wizkid???
Si ndo hapo sasa et collabo, kwani huyo wiz ndo nan mpaka ashobokewe mfyuu[emoji57] [emoji57] [emoji57]i saw this coming, Mada ikibadilishwa,, tuzo ikionekana haimstahili alikiba,!! Anyway
Wizkid achukulie atakavyochukulia,, kwa hivyo mlitaka hatakama amepewa ushindi usio halali tusilalamike kisa atatunyima collabo???? Yaani alikiba ashinde halafu aache kupewa tuzo kisa kutafuta sympathy kwa wizkid???
Ali kiba hajalamika ametaka ufafanuzi kuhusu utaratibu wa ugawaji tuzo, na pia ni haki yake kujua na Kama tunzo ingekuwa sio yake wangetolea maelezo yanayoeleweka lakn kuirudisha tuzo kwa alikiba it means alideserve , na pia alikiba sio kwanza kulalamika ikumbukwe eddy kenzo pia alilalamikia mtvmama na yeye ni msanii mkubwa pia, kwahiyo ongeeni facts sio roho mbaya ziwasukume kuandika utumboMkuu Kiba na menejimenti yake wamefanya kitu cha aibu.. Watu waliopo kwenye industry watakuwa wananielewa!!
Watoaji tuzo sio malaika, hawawezi kufanya maamuzi ya kumridhisha kila mtu! Hivi unafahamu kuwa tuzo ya MTV MAMA kipengele cha Artist of the year mwaka jana hakupaswa kupewa Davido?? Ulimsikia Wizz kasema chochote?? Umejiuliza kwanini mwaka huu Wizz amepewa tuzo mbili za MAMA kitu ambacho hakijawahi kufanyika???
Kuna namna ya kuprotest pale ambapo unahisi haujatendewa haki kwa kunyimwa tuzo, sio hivi ambavyo kiba na timu yake walivyofanya!!
Mkuu naomba uikopi hii post na uihifadhi kwasababu nakuahidi kuwa hautakuja kumuona kiba akitajwa tena kuwania tuzo yoyote ya MTV.. Wamejiharibia sana
Mark my words, wameharibu! Uswahilini tunasema "Wamechinja kuku kwa njaa ya siku moja"
Nikupe mfano mwingine! Unakumbuka tuzo za MTV VMA mwaka 2009 kwenye kipengele cha Video of the year ambapo tuzo alipewa Taylor Swift wakati alistahili kupewa Beyonce video ya single ladies?? Kanye akaenda kuprotest jukwaani... Sasa kanye alikuwa sahihi kabisa but the way ambavyo aliprotest ndio akaharibu kabisa! Unakumbuka mwaka uliofuta MTV walifanya nini??
Kiba na menejimenti yake wameharibu, "wamechinja kuku kwa njaa ya siku moja"