Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

Si ndo hapo sasa et collabo, kwani huyo wiz ndo nan mpaka ashobokewe mfyuu[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Mkuu! Ishu sio collabo tu bali kuna suala la kunetwork.. Unatengeneza network na watu wanaojua sehemu husika ili wakusaidie kuoenyeza mziki wako sehemu hiyo
Kwa mfano mwanzoni mondi alishirikiana vyema sana na menejiment ya davido kuupenyeza mziki wake west Africa, na kwasasa anashirikiana kwa karibu na akina Mr. Sande kuufanya mziki wake usikilizwe sana west Africa na amefanikiwa kwa 100% katika hili..

Sasa Kiba ni msanii mkubwa lakini mziki wake bado unasikilizwa east africa pekee! Bado haujajipenyeza afrika kusini na bado haujaingia kabisa west afrika!
Hapa ndipo ninaposema anatakiwa afanye networking na watu wanaolijua soko la west africa wasaidiane kuingiza mziki wake kule! Sasa yeye anaanza kutengeneza mabifu na watu ambao ndio wamelishikilia soko la muziki sehemu ambayo yeye bado hajulikani kabisa.. Ni makosa makubwa sana ya kimkakati!
Tuzo kitu gani, zipo kila mwaka usipopata leo utapata kesho au kesho kutwa... Usichinje kuku kwa njaa ya siku moja
 
Usipaniki na hakuna haja ya kutumia maneno makali maanza utaanza kutukana sasa hivi! Jifunze kuwa mvumilivu hata pale mtu akitoa hoja ambayo haukubakiani nayo, ndiyo dalili ya kupevuka kiakili..

Nahisi haujakifuatili hili suala kwa umakini? Inamaana hukusikia watangazajia wa xxl na ali kiba kwebye kipindi cha jahazi akihamasisha watu waende kwenye page ya mtv "kuwauliza" kwanini wamemnyima tuzo?? Mashabiki wake wakatii na wakaenda kutukana kule mtv.. Well, hakuwaambia wakatukane lakini anakuwa responsible kwa kuhamasisha watu wake kufanya intimidation..

Alafu eddy kenzo hakulalamika kwanini hajapewa tuzo! Alisema tu kuwa alichogundua ni kwamba upigaji kura hauna nafasi ya kuamua mshindi wa tuzo za MTV kwahiyo next time MTV waache kuwaambia watu wapige kura.. Hicho ndicho alichokisema
 
Hater!! Asante Sana,, naona unajibalaguza kunielekeza,, ngoja hili shangwe liishe halafu utanielekeza!! An amazing hater!!
"NAJIBALAGUZA KUKUELEKEZA" !!!!!!!!! we unajitambua kweli .........unalia kutokuweza kuweka ushahidi wako,kisha nakuwekea unasema najibalaguza ..............???
 

Msikuze sio WORLDWIDE ACT NI AFRICAN ACT AMBAYO NAYO hajastahili kumvimbe mpasuke,then wenye Tuzo hawasema chochote kuhusiana na hilo ila ni management ya Kiba ndo imesema Sasa huenda ikawa au isiwe jaribu kuelewa
 
Toeni ratiba ya kupokea tuzo ya mfalme.... Dar es salaam stand up (chid Benz voice)
 
Hawakujui King Kiba jeuri usiifate wala nini wacha walie ugali bwana maana mpaka watu wameililia ndio kukupa
 
wiz karudisha mpaka za MTV MAMA
 
Seriously??? [emoji15]

Ndio kiba aone balaa aliloanzisha..
inavoonekana
maana kafuta mpaka za MtvBase
wiz ana hasira, na haya ma team ni watu wapuuzi sana wamemtukana mpaka kakasirika nahisi Tuzo ameirudisha mwenyewe....!
Tuzo ishafika mikononi bado mnaigombea
si upuuzi huo
 
inavoonekana
maana kafuta mpaka za MtvBase
wiz ana hasira, na haya ma team ni watu wapuuzi sana wamemtukana mpaka kakasirika nahisi Tuzo ameirudisha mwenyewe....!
Tuzo ishafika mikononi bado mnaigombea
si upuuzi huo
Aisee! Nilihisi hiki kitu toka mwanzo kwamba kuna uwezekano Wizz ameamua kususa na kurudisha hizi tuzo baada ya kuchoshwa na matusi na kusakamwa na watu wa kiba.. Maana ilikuwa ngumu kwangu kuamini MTV wanaweza kufanya kitu unprofessional kiasi hiki kumpokonya mtu tuzo wampe mwingine..

Sasa menejimenti ya kiba wanasikia raha gani kupewa tuzo iliyosuswa?? And wanatengeneza image gani barani Afrika??
Hii ni aibu, sijawahi kushuhudia upuuzi wa kiasi hiki kwenye industry ya mziki Afrika..
 
Dai naye akachukue zake za MamaAwards[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu Diamond akifikia hatua hiyo ya kudai tuzo basi nitaacha rasmi kuwa shabiki yake!

Tuzo inatoka Nigeria hiyo kwa magwiji wa uchawi!kuna usalama kweli hapo?!

Tuzo za mikosi kama hizo hapana kwakweli![emoji23]!!unashangaa unachukua na ndio inakuwa ya kwanza na ya mwisho[emoji38][emoji38]!!wanaijeria washenzy sana wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…