Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Natazama hapa tuzo tajwa. Pamoja na tuzo mbalimbali kwa wachezaji na watu mashuhuri wengineo, mwanamuziki Diamond ametumbuiza.
Akiwa na 'madansa' wake, Diamond alitumbuiza wimbo wa Komasava. Alipomaliza, Diamond hakushangiliwa hata na mhudhuriaji mmoja ukumbini. Kwanini?
Yawezekana ni kwakuwa muda mwingi alikuwa anacheza tu na 'madansa' wake huku wimbo husika ukiimbwa kwenye 'player' tu?
Kiukweli, wanamuziki wetu wanahitaji maboresho makubwa kwenye kutumbuiza majukwaani. Wengi wao na muda mwingi, wanaacha nyimbo zao zinachezwa tu kwenye 'players' bila ya wao kuziimba ipasavyo.