Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Sure mkuuIle haikuwa concert, bali ni utoaji wa tuzo. Pia hadhirq iliyokuwepo siyo ile ya kule vibandq umiza. Wale walikuwa executive watupu.
Playback ni uzwazwa piga live wewe umekuja kutuletea UMc au umekuja kuimba?Ile haikuwa concert, bali ni utoaji wa tuzo. Pia hadhirq iliyokuwepo siyo ile ya kule vibandq umiza. Wale walikuwa executive watupu.
Kitendo cha kuwa mtumbuizaji kimetosha zaidi ya kushangiliwa na mwakani anaweza alikwa tena kama umelenga siasa za CCM na CHADEMA hapo umekosea sana!Natazama hapa tuzo tajwa. Pamoja na tuzo mbalimbali kwa wachezaji na watu mashuhuri wengineo, mwanamuziki Diamond ametumbuiza.
Akiwa na 'madansa' wake, Diamond alitumbuiza wimbo wa Komasava. Alipomaliza, Diamond hakushangiliwa hata na mhudhuriaji mmoja ukumbini. Kwanini?
Yawezekana ni kwakuwa muda mwingi alikuwa anacheza tu na 'madansa' wake huku wimbo husika ukiimbwa kwenye 'player' tu?
Kiukweli, wanamuziki wetu wanahitaji maboresho makubwa kwenye kutumbuiza majukwaani. Wengi wao na muda mwingi, wanaacha nyimbo zao zinachezwa tu kwenye 'players' bila ya wao kuziimba ipasavyo.
Wote esepokua domond tu ndio hawejashangeaTutajie msanii aliyetumbiza aliyeshangiliwa.
Hahaha tunacheka km mazuri wakenya washaharibu hali ya hewa
Hahaha ila Grammy tunzo hakuna Diddyzee la kazichafu lipo nyuma ya nondoWakenya wameumwa walivyoona anatumbuiza. Walizimia kabisa walivyoona komasava inapigwa background wakati waliotuzwa wanapiga picha
Natazama hapa tuzo tajwa. Pamoja na tuzo mbalimbali kwa wachezaji na watu mashuhuri wengineo, mwanamuziki Diamond ametumbuiza.
Akiwa na 'madansa' wake, Diamond alitumbuiza wimbo wa Komasava. Alipomaliza, Diamond hakushangiliwa hata na mhudhuriaji mmoja ukumbini. Kwanini?
Yawezekana ni kwakuwa muda mwingi alikuwa anacheza tu na 'madansa' wake huku wimbo husika ukiimbwa kwenye 'player' tu?
Kiukweli, wanamuziki wetu wanahitaji maboresho makubwa kwenye kutumbuiza majukwaani. Wengi wao na muda mwingi, wanaacha nyimbo zao zinachezwa tu kwenye 'players' bila ya wao kuziimba ipasavyo.
Hawa jamaa wivu unwasumbua😂Kitendo cha kuwa mtumbuizaji kimetosha zaidi ya kushangiliwa na mwakani anaweza alikwa tena kama umelenga siasa za CCM na CHADEMA hapo umekosea sana!
Wivu pro maxNatazama hapa tuzo tajwa. Pamoja na tuzo mbalimbali kwa wachezaji na watu mashuhuri wengineo, mwanamuziki Diamond ametumbuiza.
Akiwa na 'madansa' wake, Diamond alitumbuiza wimbo wa Komasava. Alipomaliza, Diamond hakushangiliwa hata na mhudhuriaji mmoja ukumbini. Kwanini?
Yawezekana ni kwakuwa muda mwingi alikuwa anacheza tu na 'madansa' wake huku wimbo husika ukiimbwa kwenye 'player' tu?
Kiukweli, wanamuziki wetu wanahitaji maboresho makubwa kwenye kutumbuiza majukwaani. Wengi wao na muda mwingi, wanaacha nyimbo zao zinachezwa tu kwenye 'players' bila ya wao kuziimba ipasavyo.
Siangqliagi upuuzi ila hii habari ni ya uongo.Natazama hapa tuzo tajwa. Pamoja na tuzo mbalimbali kwa wachezaji na watu mashuhuri wengineo, mwanamuziki Diamond ametumbuiza.