Tuzo za CAF: Kocha wa Simba apenya, Yanga yatupwa

Mleta uzi una elimu ya kutosha ila huna akili kabisaa.
Tuzo ni za msimu uliopita sasa 2023 inaingiaje hapo?
Yaani ghafla tu kocha wa losers mmeanza kumkubali namna hii?
 
Nasoma matusi na jazba..mwenye remote ya hawa watu bonyeza off
 
Si mlisema yalikuwa mashindano bya loosers sasa mara hii kocha alotoka kwenye hayo mashindano ndo mnakenua hivo
Rage ni nabii
Mbumbumbu
Utopolo ni kama inzi wa kijani..unafia kwenye mavi unayasifu ili mradi watu tuyaone keki kama unavyoyaona wewe.
Aliyesema kombe la "luza" ni msemaji wenu haji manara,ila kwa vile akili zenu zimeishia kwenye shit,mnapiga kelele tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…