Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,976
Kinachonifurahisha mimi ni kuwa shetani Abdul (mtoto wa Mama Samia) bado anateka watu na Mama pamoja na jeshi letu tukufu la Tanzania wako kimya tu wakimpongeza kijana wao.Leo ni siku yangu bora zaidi kwa mwaka 2025, kuna jambo siwezi kuliweka hapa limenifurahisha sana.
Kama kungekua na kijana anajielewa humu, leo ningemtunukia friendly match, tatizo waliobaki wote si type yangu kama akina Tajiri Sina BAYA na kibamia mzabzab
Watu walionifurahisha humu ndani wiki hii ni Nusratt , secretarybird, uzuri_hatujuani na issac77 kwenye ule uzi wetu wa wakubwa uliofungiwa na ukafutiwa replies 100, mlinifanya nilale saa kumi alfajiri, mpaka next day nikaamka naumwa.
Majibu ya mwanangu Poor Brain na mzee wangu wa dhahabu Ushimen yamenipa raha sana wiki hii.
Mimi ni nani nikatae?Uko tayari?
Nimefuri kwa hayo maneno.Mimi ni nani nikatae?
Karibu sana moyoni mwanguNimefuri kwa hayo maneno.
Kitambo sana Niko moyoni mwako.Karibu sana moyoni mwangu
Aione ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ makutuporaNaomba nikupe offer ya kukuuzia dildo
Haya sema wanaokufurahisha!Dah,Ilinipita hii
Funguka walokufurahishaaa
Kemea Pepo hiliAione ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ makutupora
Pepo Shindwaaaaaaaaaaaaaaa πππππKemea Pepo hili
Fujo zote hizo na bado una shule juu, utakufa vibaya wewe π€£ π€£ π€£ π€£ nakuhurumia!WAniita huku kwa chipenzi bonge la dada π π .. nilikuwa nakamua mathematics .. mambo ya Mbaga Jr hapa nimeamka napiga kimokoo nijisomeeView attachment 3398520