Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #421
Hebu rudia tena kufanya hesabu na hiyo issue uliyosema unayo kichwani ni ipi?Ok thanks so much Kwa maana hiyo hivi sasa una around 40....47 badobado unafaa.
Hebu rudia tena kufanya hesabu na hiyo issue uliyosema unayo kichwani ni ipi?Ok thanks so much Kwa maana hiyo hivi sasa una around 40....47 badobado unafaa.
Hesabu zangu zipo sawa tu sijataka kuweka exactly margin. Nina mengi ambayo yapo kichwani kwangu ninge kuona live ningekuulezea Kwa uzuri although najua haiwezekani na haitawezekana.Hebu rudia tena kufanya hesabu na hiyo issue uliyosema unayo kichwani ni ipi?
Hesabu zangu zipo sawa tu sijataka kuweka exactly margin. Nina mengi ambayo yapo kichwani kwangu ninge kuona live ningekuulezea Kwa uzuri although najua haiwezekani na haitawezekana.
However i like your perspective in our conversation umekomaa/umeiva uko good.
Huu na wa nane iko poa kabisaAl-mukheef - septemba imekua mwezi wako wa bahati 🍑 au hali bado mbaya?
Sawa, I'm happy for you!Huu na wa nane iko poa kabisa
Kwa kuzini au 🤣Sawa, I'm happy for you!
Ndiyo, si unapenda na unafurahia, au?Kwa kuzini au 🤣
No commentNdiyo, si unapenda na unafurahia, au?
Kwamba haupendi au?No comment
NdiyoKwamba haupendi au?
Kwanini unafanya sasa?Ndiyo
Sasa nifanyaje 🤣Kwanini unafanya sasa?
Umempa nini, mbona amekung'ang'ania hivyo 😅 ?Mitano tena
Maliziaaaa uduguuu, 😂😂😂😂😂Kwanza nncheke 😹😹
Mimi bhana niliwahi kuwa na mahusiano na handsome mmoja anafanya kazi AAR enzi hizo, wa kishua sana gari kaanza kudrive ana 13yrs.
Hata vi safari vya best bite na beach za kigambonino tulikuwa tunabebana sana..!!
Sasa katika kutoana sealed kila tukijaribu inashindikana coz mimi kuku mgeni na naogopa hatari..!! (Hii kitu ilininyima amani hata akiniita natamani kuonana naye tatizo nikifikiria hizo mbilinge naishiwa pawa) Japo mpenzi nampenda 🥰
Basi tunaishia kusukumana na kuparuana, kuna siku mpk tulichana skirt zipu ikaachia halafu lilikuwa mino la jeans..!! 😹
Sijui nimalizie story, huyu mbwa ukute ananichora hapa halafu anifate tuanze kugombana tena mana kichaa hata haogopi..!! 😹😹
Mmmmh yaani nilitaka kuuliwa na ant kisa dawa ya mbuPoor Brain tuko gani baya umeshawahi kupigwa na majimama yako?