Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
Najua wew ni Binti wa zamani naomba utupe mbinu(nanga) za mabaharia wa zaman walizotumia kuwapata kirahisi?
Na mliwasilianaje wakat ule hapakuwa na simu?
Kuna kimdada kijijn nimekielewa ila kipo hom mda wote na hakina simu. Mda wote kipo na mama ake kila nikienda kwao.