Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #401
Huwa ana kazi nazo gani?Eeh huwa naziachaga kwa faida Yako mama antipas
Huwa ana kazi nazo gani?Eeh huwa naziachaga kwa faida Yako mama antipas
Mimi siyo mlokole lakini nina hofu ya Mungu na huwa najitahidi kujiepusha na yasiyompendeza Mungu.Wewe ni mlokole kwani?
Na mwanaume unamtengenezaje?
Salama shemu, hongera yako shemuPoa shemela, mambo
Zile huwa unasema zinakutekenya unawahi kufikaHuwa ana kazi nazo gani?
Hongera ya Nini shemela🙄Salama shemu, hongera yako shemu
Kuna issue ipo kichwani kwangu hivyo nahitaji unijibu Mkuu.Hii taarifa itakusaidia nini mkuu?
Hapo nimekuelewa 😍Mimi siyo mlokole lakini nina hofu ya Mungu na huwa najitahidi kujiepusha na yasiyompendeza Mungu.
Kumtengeneza namaanisha kumfanya vile mimi nataka awe kimuonekano na hata baadhi ya tabia.
Una drediHongera ya Nini shemela🙄
Nitakujibu, ila issue gani iko kichwani kwako? hebu tuanzie hapo!Kuna issue ipo kichwani kwangu hivyo nahitaji unijibu Mkuu.
Umesema tuulize sio kuulizwa so Implement your promise please.
Shemela, Dada ako anazipenda etiUna dredi
Kwanzia 25 hadi 30 mwanaume anayejielewa.Hapo nimekuelewa 😍
Ngoja tukutafutie huyo husband material apatikane buana.
Inabidi awe umri gani?
Safi sana hii kapo yenu inabamba 😅😅Shemela, Dada ako anazipenda eti
Baba Antipas, unataka kulianzisha mapema hii 🤭Zile huwa unasema zinakutekenya unawahi kufika
Unaona shida yako unani overtake kinamna.Nitakujibu, ila issue gani iko kichwani kwako? hebu tuanzie hapo!
Tayari huko mama Antipas?
Nilikua ndani ya range 23 - 28Unaona shida yako unani overtake kinamna.
Before we go further more.
Naona ungenijibu kwanza Mimi then nitakuelezea nini kinanitatiza.
😁😁 Mkuu haya majibu yako inaonekana ni zee fulani hivi linye experience na maisha ahahaaaa mfano wako ume kaa kijanja sana na umeeleweka.Binafsi, huwa naona mtu anakuwa ametumika kama alichotarajia kukipata hakijatimia. Mfano, Binti wa zamani akimpa mbususu Ngalikihinja kwa matarajio ya kuolewa naye, na ndoa isitokee, hapo Binti wa zamani atakuwa ametumika. Lakini wakati huohuo, Ngalikihinja kumpa hela Binti wa zamani ili apate mbususu na akaipata, anakuwa hajachezewa, maana lengo limetimia.
Hebu niacheeee nijipikilishe mie 😂 😂Tayari huko mama Antipas?
Sawa, baadae ssHebu niacheeee nijipikilishe mie 😂 😂
Ok thanks so much Kwa maana hiyo hivi sasa una around 40....47 badobado unafaa.Nilikua ndani ya range 23 - 28