Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
Potezea tu, usifanya!Sasa nifanyaje 🤣
Kheeee 😱 hebu nisimulie, ilikuwaje tena?Mmmmh yaani nilitaka kuuliwa na ant kisa dawa ya mbu
Imepindapindaje tena 😅 ?Leo nimeamka imesimama na imepinda pinda
Shida itakuwa nini
Mzee mwenzangu, hata mimi sielewi?Kama issue ni picha kuchapishwa hapa Jf, kwani mtandao huu ndio ulienda kuwapiga picha huko magogoni?
We acha tu hapa nimefunga msuli nimemaliza raundi tano bado ipo vilevileImepindapindaje tena 😅 ?
Nilitoa uzi mbona my diaKheeee 😱 hebu nisimulie, ilikuwaje tena?
Zamani walikua wanatusubiria njiani, anakuachia ujumbe dukani (na vizawadi vya hapa na pale), au mkiwa kanisani anakuongelesha akipata kanafasi au anakupa akaujumbe amekaandika kwenye karatasi.Najua wew ni Binti wa zamani naomba utupe mbinu(nanga) za mabaharia wa zaman walizotumia kuwapata kirahisi?
Na mliwasilianaje wakat ule hapakuwa na simu?
Kuna kimdada kijijn nimekielewa ila kipo hom mda wote na hakina simu. Mda wote kipo na mama ake kila nikienda kwao.
Eeenhe mpaka leo unaendeleaje 😂 ?We acha tu hapa nimefunga msuli nimemaliza raundi tano bado ipo vilevile
Sijauona, niwekee link hapa!Nilitoa uzi mbona my dia
Baada ya kuona sifa zangu zikitajwa kwa sauti ya juuSwali zuri sana😝
Kwanza kabisa awe anajiweza kiuchumi, awe na hofu ya Mungu na anifikishe kileleni hayo mengine ntamtengeneza mwenyewe🫠
Harusi tunayo hatunayo 🤣🤣Baada ya kuona sifa zangu zikitajwa kwa sauti ya juuView attachment 3468037
Tunayo😅 lazma niwaletee mkwe mwema kwenye ukoo au unasemaje aunt yangu 😂Harusi tunayo hatunayo 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣wacha weeeBaada ya kuona sifa zangu zikitajwa kwa sauti ya juuView attachment 3468037
Ari riri ririi ririii ririiiiiiiiiiii wakwe tumekaa tayari tayari tunasubiria rangi za sare tu 😅😂Tunayo😅 lazma niwaletee mkwe mwema kwenye ukoo au unasemaje aunt yangu 😂
kumbe mim ni jambaz nataka kuharibu maisha ya mtoto wa watu..Zamani walikua wanatusubiria njiani, anakuachia ujumbe dukani (na vizawadi vya hapa na pale), au mkiwa kanisani anakuongelesha akipata kanafasi au anakupa akaujumbe amekaandika kwenye karatasi.
Mbinu ni nyingi, tumia akili tu, na kama kweli umempenda nenda kwao ukajitambilishe usimharibie binti wa watu maisha.