Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Kuna mkaka nilikua namdate akaja kwangu, sijui alikua anapitia magumu gani. Alijilaza akaanza kulia kwa sauti kama dakika 15 hivi, baadaye akanyamaza na hakutaka kuongelea tena kilichomliza.

Baada ya muda akawa sawa tu kama siyo yeye aliyekua analia. Niliogopa ila pia nilifarijika kwamba amejisikia amani kiasi cha kutosha kurelease yaliyokua ndani yake.
 
Wanawake Hamna siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ