makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Aahh, mambo mambo tu ya dunia yenu, nikirudi ZEBAKI nitasimamia ukucha haina tabu.Kulikoni muda mrefu hivi mZebaki?
Safi, na wengine walibebe hilo, kulombana ni sanaa, wajue tu nini cha kufanya!
Sawa, enjoy upepo mwanana wa ughaibuni!Nipo napunga upepo hapa US
π¦₯π¦₯.. Unasikia raha au utamuUna swali la kizushi kwangu au kwa member yoyote wa JF? njoo uliulize hapa!
Mimi naanza na hawa;
Kaka Mshana Jr - umeshawahi kushuhudia live mambo ya nguvu za giza / kichawi na ilikuaje?
cocastic Angel Nylon Amehlo Mallerina , To yeye - Kitu gani kidogo mtu anaweza kufanya kikakufanya ujisikie unapendwa sana?
Mbaga Jr - umeshawahi kukaa muda gani bila mizagamuano wala kukwea mnazi?
min -me - kiasi gani cha fedha ukipewa unaacha pombe?
dosho12 - lini umelia mara ya mwisho na nini kilikuliza?
onestopcenter - kwanini bado una uvulana wako (bikra) mpaka sasa?
Lamomy - tukio gani ushawahi kumpiga mtu akabaki na butwaa haamini?
Harmful , makaveli10 lini ni mara ya mwisho umemwaga zigo na ulifanya nini kuhakikisha mwenzako naye kamwaga?
Nakunywa pombe kwa sababu ya kuburudika tu nasio kwa sababu ya ukosefu wa pesa , hivyo hata ukinipa pesa bila masharti yoyote sitapokea ,kwa sababu sina shida ya pesa ya bure pasipo kufanya kazi yoyote .
Kibongo bongo ukisema una kunywa pombe unaonekana umekata tamaa ya maisha.Hii ndio misimamo, sio kukubali hovyo hovyo ofa za watu, bure imeponza sana vijana Kino π
Ni kweli mkuu, na wanywa pombe wengi asilimia kubwa ni wenye uwezoKibongo bongo ukisema una kunywa pombe unaonekana umekata tamaa ta maisha.
Sawa πAahh, mambo mambo tu ya dunia yenu, nikirudi ZEBAKI nitasimamia ukucha haina tabu.
Hebu toa darasa kidogo, najua kuna watu watanufaika hapa!Ukijua cha kufanya msamiati mwanamke KUKOJOA, itakuwa ni kitu cha kawaida mnoooo
Nakunywa kidgo tu ya burudani ,maisha ni haya haya tu bwashee.Ni kweli mkuu, na wanya pombe wengi asilimia kubwa ni wenye uwezo
US...π Ushirombo hapa wilayani Bukombe mkoani Geita...π€£Sawa, enjoy upepo mwanana wa ughaibuni!
Kesho, leo shughulo za kidunia zilikuwa nyingi niko hoi..Sawa π
Hebu toa darasa kidogo, najua kuna watu watanufaika hapa!
Nimecheka sana π π uko kwa ndugu zangu uliowaelezea ushamba wao kwenye ile nyuzi ya wasukuma?US...π Ushirombo hapa wilayani Bukombe mkoani Geita...π€£
Sawa, kesho nayo siku, usisahau tu kurudi kutupa darasa huru πKesho, leo shughulo za kidunia zilikuwa nyingi niko hoi..
Duniani sio kama kule kwetu ZEBAKI, dunia ni vurugu mechi
Usijari, sisi watu wa ZEBAKI, hatuna longolongoSawa, kesho nayo siku, usisahau tu kurudi kutupa darasa huru π
Hata kwenye msiba wa mtu wa karibu?Sikumbuki lini nimelia mkuu. Yaani nianze kumwaga chozi na kulia kabisa, dah sikumbuki...
Hayupo, amebaki historia tu!Kama bado yupo kwenye himaya yako hongera, umepata mume!
Sekta gani tena hiyo π π π ?Binti wa zamani ni gwiji kwenye sekta yake π₯
Mungu hapendiItoe pombe hapo bwashee
Raha au utamu kwenye nini?π¦₯π¦₯.. Unasikia raha au utamu